Najua kuna watu watanipinga ila huu ndio ukweli. Muonekano wa mtu unaweza kumsaidoa kupata fursa au kukosa fursa fulani.
Kuna watu wengi nawajua wapo kwenye vitengo nyeti si kwa sababu wana uwezo kichwani bali muonekano wao umewabeba.
Wewe unayelilia ajira kabla ya kumlaumu Mungu hebu...
Wakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.
Baada ya kumwambia asiende kwenye hiyo show ya Nasib Abdul, mke akakaidi akaenda.
Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na...
jamani kama ni uzuri huyu binti amejaaliwa, kuanzia shape, sura mpaka rangi. Tutajenga kweli kwa mtindo huu? Yuko wapi yule aliyesema Tanzania hakuna watoto wazuri?
Hii tabia ya kupanga sherehe kwa kutegemea michango ya watu Ife mtakuja kununia watu bure[emoji2219][emoji2219]mtu unapanga sendoff ya milioni kumi wakati wewe mwenyewe huna hata uwezo wa kutoa milioni mbili,unapanga ndoa ya milioni 20
Wakati wewe mwenyewe hata hela ya suti unategemea uchangiwe...
Sijui nina moyo mdhaifu kila mwanamke Mzuri nikikutana naye najikuta nampenda na natamani kuwa naye, yaani kwa siku nikikutana na wanawake 10 basi nane nitakuwa nimewatamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.