Wanawake walio wengi wanapenda kuabudiwa , na kama wewe ni mwanaume ambae umeshaamua kuto abudu mwanamke yoyote, jua wewe ni mwanaume makini sana.
Wanawake wengi wanahisi kwakua ni wanawake basi kila mwanaume inabidi amjali kama kiumbe cha kipekee , kumnyenyekea na kama huyo binti amejaliwa...