wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Mabasi ya mikoani inabidi muwe na muda maalum wa kuwasha na kuzima TV

    Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu. Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za...
  2. GENTAMYCINE

    Wanawake wa mikoa ya Mpanda, Kigoma, Rukwa na Ukerewe Mwanza ni 100% Wife Material

    Leo Kazi ipo hapa, ila ukiona GENTAMYCINE kaja na Jambo hapa jua kwa 101% liko kweli na nimeshalifanyia sana Utafiti.
  3. Miss Natafuta

    Wanawake wengi ni wavumilivu kwenye maisha kuliko wanaume

    Ukisoma mada nyingi humu wanaume wengi wanalalamika kuhusu ndoa zao Msije mkadhani wanawake ni wabaya lah Wanawake wengi wanasulubika vibaya mno sema hatulalamiki. Tumeumbwa kuvumilia Pia tunajua jinsi ya kupambana na changamoto All in all mnaopitia changamoto za ndoa poleni sana.tafuta...
  4. Nyendo

    Pre GE2025 Hivi kile kijiwe cha kahawa cha wanawake alichokunywa Rais Samia kilienda wapi?

    Nimefika hapa Soko la Wamachinga parking Nzega nikataka kujionea kijiwe cha Kahawa cha wanawake ambacho Rais Samia alionekana akinywa kahawa maana nimezunguka mikoa mingi sijawahi kuona kijiwe cha wanawake, nikataka angalau nikawaunge mkono Wanawake hao ila sijafanikiwa kukiona. Nimeuliza...
  5. H

    Nimelala na wanawake 73 kutoka mwaka 2017 mpaka 2024

    Habari wana MMU, Poleni na majukumu ya kila siku, Ipo hivi mimi ni kijana 24 yrs old. Nimelala nimefanya mapenzi na wanawake wengi sana niliowazidi umri, walionizidi umri, agemates. Sikuishia hapo nimekula wake za watu pia mke wa braza nilimla kipindi niko form six. Ila nilichogundua kila...
  6. proton pump

    Mbona wanawake ndio wanaongoza kwa kushauri wanaume kuoa?

    Naendelea kukusanya data kila siku. Ukikaa na wanaume huwezi ukasikia wakimshauri mwanaume mwenzake kuoa mara kwa mara lakini kinyume chake wanawake wamekuwa washauri wakuu wa vijana waliofikia umri wa kuoa kwamba oa oa ♫︎♫︎♫︎♫︎ kama wimbo sasa sijui kwa nn wao ndio washauri wakuu siku hizi...
  7. Yoda

    Vijana wa kiume kutongoza wanawake waliowazidi umri sana ni tabia mbaya na ya hovyo?

    Kuna haya malalamiko ya huyu bibi anayesema vijana wanawatongoza wanawake sawa na mama zao akisema ni tabia mbaya na za hovyo! Ni sahihi kuwasema vijana wa aina hiyo hivyo? Akizungumza kwenye kipindi cha JIRANI Mama Terry amesema vijana wengi wa kiume sasa hivi wamekuwa na tabia mbaya na za...
  8. JanguKamaJangu

    Dkt. Mzuri (TAMWA – Zanzibar): Wanahabari kuweni wajasiri na wabunifu katika kuibua Wanawake kushika nafasi ya Uongozi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) - Zanzibar, Dkt. Mzuri Issa amewataka Waandishi wa Habari nchini kuwa Mabalozi kwa kuandika habari zinazohusu masuala ya Wanawake na uongozi. Wito huo ameutoa leo Oktoba 8, 2024 wakati akifungua warsha ya siku ya mbili ya...
  9. Yoda

    Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

    Kwa nini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kushiriki shughuli muhimu za maziko kama hata kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?
  10. TODAYS

    Wale Mnaooa Wanawake Wenye Watoto, Mshauri Wenu Huyu Hapa!.

  11. Stephano Mgendanyi

    RC Zainab Tealck awataka Wanawake kuwa na Ujasiri mkubwa na maamuzi yasiyo Legalega Ili kufikia Ndoto Zao

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack ametoa wito kwa wanawake wa Mkoa wa Lindi kuwa na maamuzi na ujasiri Mkubwa katika kuyafikia malengo bila kugeuka nyuma . Mhe. Telack ametoa wito huo katika hafla iliyoandaliwa na wome's Gala 2024 yenye lengo la kuwakutanisha wanawake wakada tofauti...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Sifa Mbili pekee ndizo hufanya Wanaume wawaite Wanawake Malaya, sio ajabu Mume kumuita Mkewe Malaya hata kama Mkewe hafanyi ufuska.

    SIFA MBILI PEKEE NDIZO HUFANYA WANAUME WAWAITE WANAWAKE MALAYA, SIO ADHABU MUME KUMUITA MKEWE MALAYA HATA KAMA MKEWE HAFANYI UFUSKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya mambo àmbayo Wanawake wengi hawapendi uwaite ni kumuita Malaya, lakini kingine kumuita MCHAFU. Yaani ukitaka Mwanamke...
  13. L

    Amos Makalla: Wanawake wa CHADEMA kuchoma Kanga ni Kitendo cha Kishamba Sana

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makala.Amesema ya kuwa kitendo walichokifanya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kuchoma Kanga ni Kitendo cha Kishamba sana alichokishuhudia . Gwiji na nguli huyo wa mahesabu na uhasibu na...
  14. Wagumu Tunadumu

    Tunapoelekea wanawake wasahau uwepo wa ndoa,wanaume wa sasa wamejanjaruka

    "Sitapenda tena. Mara ya mwisho nilipopenda, ilikaribia kugharimu kazi yangu na nadhani ndoa inaweza kufanya vibaya." Chris Brown "Ninaelewa ndoa ni nini lakini sitaki kuoa kwa sababu ni ukatili sana kwa wanaume endapo mtaachana. Ninaelewa ndoa lakini sidhani kama inafaa kwa wanaume. Sio kama...
  15. The bump

    Wanawake Mnapotongozwa Jifunzeni Kujibu Ndio au Hapana kwa Maneno na sio Vitendo

    Wanaume sisi ni watu tulio wazi sana kwenye hisia zetu tunapopenda na kutamani kitu chochote,ninapokupenda mwanamke nitakufata nitaanza ukaribu nawe kisha nitatafuta siku nitaomba tukae sehemu tulivu nzuri kwa ajili ya kumwaga yalio ujaza moyo wangu. Ajabu ni kwamba sisi baada ya kuwasilisha...
  16. Mohamed Said

    Historia ya Wanawake Wazalendo Wapigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/wjvIkkbJBR8?si=EDswkPWPt8TR6S1P
  17. Mohamed Said

    Utangulizi: Historia ya Wanawake Waliopigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/J8X9FbMZMNI?si=4DR2OCqAO2aLQFAd
  18. J

    ACT wazalendo waungana na CHADEMA wamtaka Rais Samia awajibike kwenye matukio ya utekaji

    Wanawake wamekerwa na Mama Samia. Sijui kwanini hawachukulii hatua watekaji na wauwaji. Hata CCM wenzake wamemchoka ndio maana katika hili la utekaji na mauaji hawamtetei. https://m.youtube.com/watch?v=FgW9_baDWBM&pp=ygULQWN0ICsgU2FtaWE%3D
  19. Waufukweni

    Afrika Kusini: Mzungu aliwaua wanawake wawili weusi na miili yao kupewa nguruwe waile

    Kisa cha wanawake wawili weusi wanaodaiwa kupigwa risasi na mzungu na miili yao kupewa nguruwe waile kimezua taharuki nchini Afrika Kusini. Maria Makgato, 45, na Lucia Ndlovu, 34, inadaiwa walikuwa wakitafuta chakula katika shamba la mzungu huyo karibu na Polokwane katika jimbo la Limpopo mwezi...
  20. Roving Journalist

    Halmashauri ya Mji Kibaha kutoa mikopo ya Tsh. Bilioni 1.6 kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Mji Kibaha inatarajia kutoa mikopo kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu yenye thamani ya Shilingi 1,169,428,549 ili kuwawezesha kupambana na adui umasikini Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa ametangaza uwepo wa fedha hiyo kwa...
Back
Top Bottom