Nimechoka saaana, mke wangu, mama watoto wamgu, kipenzi changu, anataka kuniua
Leo asubuhi amenipikia mtori na maziwa, nyama kilo moja, akanitengea yote kwenye poti moja kubwa, nikala kwa mbinde nikamaliza
Mchana huu amepika nyama nusu kilo amenikaangiana viazi ulaya, nimekula kwa mbinde...