Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.
Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais...