Mama Yangu Kanikimbizia Mchumba Wangu!
Mimi ni binti wa miaka 30, sijaolewa ila niko kwenye mahusiano na Kaka mmoja huu ni mwaka wa saba. Mwaka jana tuliongea kuhusu ndoa akaniambia itakua mwaka huu, basi nilikubali nakukaa kimya, lakini mwezi wa sita alisimamishwa kazi hivyo nilishindwa...