Kama una benchi zuri la mbao (lisiwe la chuma na lisiwe na sehemu ya kuegemea) linalotosha kukaa mpaka watu wanne njoo PM tufanye biashara.
Kama wewe ni fundi seremala na unaweza kuniahidi kunitengenezea benchi za aina hiyo kwa haraka (nataka tatu tu) njoo PM tuone tunafanyaje.
Nasisitiza, uwe...
Baba zao walikua maswaiba, katika kulinda mali za familia zao walipanga kuwaoza watoto wao. Binti hakuwahi kumkubali jamaa lakini kwake pia aliona ile ndoa ni life opportunity. Familia ya mume ilikua matawi ya juu.
Baada ya harusi mke alileta house boy nyumbani. Ni kijana mdogo ndiyo...
Dereva ambaye alisababisha ajali ya Basi la Kampuni ya Kilimanjaro Express iliyotokea jana Machi 14, 2022 Mkoani Songwe na kusababisha vifo vya watu wanne, Mjahid Waziri mwenye umri wa miaka 39, amefutiwa leseni ya udereva.
Ajali hiyo ilitokea wakati basi likitoka Tunduma kuelekea Dar es Salaam...
Polisi Canada wameipata miili ya watu wanne akiwemo mtoto mchanga, katika eneo la uwanja mkubwa uliopo kwenye mpaka wa Canada na Marekani.
Watu hao walipatikana wakiwa wamekufa katika theruji walipokuwa wakijaribu kuingia nchini Marekani kinyume cha sheria.
Imetambuliwa kuwa familia...
Polisi katika jimbo la Zamfara Kaskazini-Magharibi mwa Nigeria wanasema wamewakamata watu wanne wanaodaiwa kuhusika na ulaji nyama za watu na kuuza sehemu za binadamu- jambo ambalo ni nadra sana katika eneo hilo.
Kamishna wa polisi katika jimbo hilo Ayuba Elkanah aliwaambia waandishi wa habari...
Watu wanne wamefariki dunia papo hapo na mwingine kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati wakichimba kaburi katika Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya.
Watu hao walipigwa na radi Jumapili Januari 9, 2022 wakichimba kaburi kwa ajili ya kumzika ndugu yao aliyefariki Januari 7.
Mkuu wa Wilaya ya...
Watu wanne (Wanawake 2 na Wanaume 2) wameripotiwa kufariki dunia huku wengine 17 wakijeruhiwa baada ya jengo lililokuwa linajengwa eneo la Goba kwa Awadhi Jijini Dar es Salaam kuangukia nyumba za jirani
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James amesema wanaendelea kuangalia iwapo kuna wengine...
Waandishi wa habari 4 mkoani Mtwara wamepata ajali ya gari na baadhi yao kuumia wakiwa katika msafara wa Mkuu wa Mkoa huo Brigedia Jen.Marco Gaguti.
Gari lililopata ajali liliwabeba John Kasembe(Azam TV), Anne Roby(Daily News),Adam Malima(Chanel Ten) na Baraka Jamal(Safari Redio)...
Kwa sababu ni makomandoo huenda wangeweza.
Nakuuliza hivi,
Wangetumia mapanga ya kawaida au mapanga maalumu?
Au wangetumia mashine za kukatia miti?
Je, Mabwana misitu wangewaacha tu?
Au wangekuwa wanakata huku wamevalia mavazi ya mabakamabaka kw a hiyo mabwanaisitu wangewaogopa?
Je, Wangekua...
Baada TP Mazembe kutoka, tunahitaji timu moja nyingine kati ya zifuatazo kuaga mashindano leo ili tuwe pot 2 na kupata draw nzuri
Esperance
Widad
Mamelody
Horoya
Ikiwa hizo timu zote zikashinda tutaishia pot 3 na pengine kupata draw ngumu sana
Pot 1
Ahly, Esperance, Wydad, Raja
Pot 2...
Hali imebadilika mahakamani baada ya Kibatala kuomba Mashahidi wanne wasitajwe mahakamani kwa Usalama wao. Hali hii imepelekea Mawakili wa Jamhuri kuomba kesi iarishwe au la sivyo isikilizwe bila kuwepo watu mahakamani.
Je, Mashahidi hao ni waking Nani? Lakini kwa upande mwingine Jamhuri imetoa...
JESHI la Polisi mkoa wa Dodoma limewakamata ndugu wanne wa familia moja wanaotuhumiwa kumuua ndugu yao na kisha kumkata miguu yote miwili chini ya magoti na kuufunika mwili kwa mahindi yaliyopukuchuliwa na kuuchoma moto.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Onesmo Lyanga alisema jana kuwa...
Denzel amewapata watoto wake wote wanne pamoja na mke wake Paulette Washington, ambae alifunga nae ndoa mwaka 1983. Paulette ni mcheza sinema na aliwahi kucheza movie Wilma
Nimejaribu Kuwasihi mno wasifanye wanachotaka Kukifanya kwa Kitendo cha Haji Manara wakanionya ninyamaze vinginevyo nami pia watanijumuisha katika Kafara lao Kubwa wanaloenda kulifanya kwa Usaliti mkubwa na Dharau dhidi ya Simba SC.
Na Kilichonitisha zaidi kuna Wazee Wawili kati ya hawa Wazee...
Salaam Wakuu,
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Temeke Lusubilo Mwakabibi na Edward Haule, Wamefikishwa Mahakamani Kisutu asubuhi hii.
Hatua hii imekuja baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa siku nne kwa TAKUKURU kumfika Mwakabibi Mahakamani ajibu Mashitaka yanayomkabiri.
Katika ziara yake ya...
Mkuu wa Polisi Nchini humo, Leon Charles, amesema watu wanne wanaoshukiwa kwa mauaji ya Rais Jovenel Moïse wameuawa na wengine wawili wamekamatwa
Kuuawa kwa Moïse na kujeruhiwa kwa Mkewe kulitarajiwa kuleta machafuko zaidi katika Taifa hilo ambalo tayari linakabiliwa na ghasia za magenge ya...
Sisi tuendelee kupambana na waliokufa wakati wenzetu masaa machache yaliyopita wameshuka kutoka kwenye chombo cha Anga za mbali cha ISS.
Najisikia hatia kila ninapofuatilia habari kama hizi na kurudisha akili kwa hizi nchi za kiafrika, baya zaidi nikiamtazama jamaa flani kwa mambo anayofanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.