wanufaika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naibu Waziri Sangu Ataka Kanzidata za Wanufaika wa TASAF

    NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kuandaa kanzidata za wanafunzi waliohitimu Vyuo Vikuu waliotoka Kaya za walengwa wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ambao ni wanufaika na mikopo ya elimu ya juu kwa...
  2. N

    Afrika sio wanufaika wakubwa wa USAID kama tunavyodhania

    Ukiangalia hiyo chart hapo juu utaona zaidi ya Egypt hakuna nchi nyingine ya Africa iliyonufaika missada ya US kupitia USAID kama nchi za mabara mengine mfanonUlaya. Lakini toka rais Trump asaini executive order ya kusitisha USAID. Watu mbali mbali wamekuwa wakitoa malalamiko na kuitolea mfano...
  3. I

    Wanufaika 5 wakubwa wa misaada ya USAID barani Afrika.

    Ethiopia ndiyo mnufaika mkubwa zaidi wa USAID barani Afrika, ikipokea msaada wa dola bilioni 1.20. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inafuatilia kwa karibu kiasi hicho cha dola bilioni 1.20. Kuangaziwa kwa misaada ya nje ya Marekani kumeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, huku nchi hiyo...
  4. Ya DRC,SADC na Rwanda je,MOSSAD,CIA na M16 ni Wanufaika Wakuu ama ni Kweli HIMA EMPIRE inatawala 75% ya EAC?

    Wakuu Mchungaji Mtikila aliwahi kuzungumza jambo zito sana miaka 12 nyuma leo Athari yake tunaiona ndani ya Ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa hakika yajayo yanafikirisha sana JWTZ,TISS,MIGRATAION na PT lindeni Kitabu chetu kwa Wivu na Upendo Mkubwa Mnoo.
  5. Donald Trump ni Rafiki wa kweli wa Afrika, wajinga na wanufaika wa misaada pekee watalaumu maamuzi yake

    Je sisi ni raia wa Marekani ? Je tunalipa kodi au tozo Marekani? Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ? Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada. Nadhani Africa tumepewa...
  6. Sheria ya mafao kwa wastafu: Nchimbi naye anaingia kwenye Orodha ya Wanufaika wa maisha wa Kodi za watanzania masikini.

    Hii Sasa ni hatari, kuanzia Mke wa Nyerere, Mke wa Sokoine, Mke wa mpaka latest kwa Mpango, Kasimu Majaliwa, na Sasa Emanuel Nchimbi wataendelea kula pension ya Umma. Gari latest la Kijapani ama Surf la maana, walinzi wa maisha wa Familia za viongozi Hawa, Dobi, mtunza bustani na Mahouse maid...
  7. Orodha ya kwanza ya wanufaika HESLB 2024/2025 yatangazwa

    Ni awamu ya kwanza yenye wanafunzi 21,509 Mikopo yao ina thamani ya TZS 70.78 bilioni Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumamosi (Septemba 28, 2024) imeanza kutangaza orodha ya wanafunzi wenye sifa waliopangiwa mikopo kwa ajili ya mwaka wa masomo 2024/2025. Awamu hii ya...
  8. Kero ya kuchelewa kuhuishwa kwa kadi za NHIF kwa wanafunzi wanufaika wa Mkopo toka HESLB.

    Habari. Naomba kwasilisha kero wanayopitia baadhi ya wanafunzi wanufaika wa mkopo unaotolewa na HESLB ambapo hela kwaajili ya kadi za bima ya afya kwenye akaunti zao inaonyesha wameshalipia lakini kadi haziko activated. CHANZO CHA TATIZO Kosa linalofanywa na HESLB ni kulipa hela hii moja kwa...
  9. Wanufaika wa TASAF washauriwa kubuni vyanzo vya mapato ili wapate maendeleo na kutoka kwenye umaskini

    Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), umewezesha walengwa wa mfuko huo kutumia ruzuku wanayopata kushiriki kilimo, hali ambayo imekuwa ikiwaongezea kipato na kuwa na uhakika wa chakula. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Shadrack Mziray wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  10. A

    KERO Udidimizaji wa Haki za Wahandisi wanaofundisha Shule za Sekondari za Ufundi ni changamoto inayohitaji utatuzi wa haraka

    Habari, Mimi ni mhandisi ambaye niliajiriwa ajira za waalimu kwa tangazo la mwaka 2020 kwa niaba ya wenzangu wahandisi kutoka shule za ufundi tunapenda kutoa masikitiko yetu juu haki zetu kama watumishi wa umma. Ikumbukwe serikali ilituajiri tukiwa wahandisi lakini mambo yalibadilika...
  11. Mjadala : Je wanufaika wa NHIF tulipie pesa ya kumuona Daktari, NHIF igharamie huduma Nyingine zote kwa ubora?

    Habari JF , Kiuhalisia matibabu ni gharama sana na tukisema pesa tunazochangia zigharamie kila kitu Changamoto zinazojitokeza katika matibabu tunayopata hazita kwisha . Kuna kitu kinaitwa pesa ya kumuona Daktari au consultation fee , hii pesa inayolipwa kwa ajili ya kumuona Daktari haijalishi...
  12. S

    Madai ya baadhi ya wabunge kuwa wanufaika wa vibali vya sukari yana ukweli kiasi gani?

    Wabunge wanatuhumiwa kuhusika kwenye kashfa ya sukari ambapo inadaiwa baadhi yao wamepewa vibali vya kuagiza sukari na Waziri Bashe kama mkakati wa kuwanyamazisha na kufanikisha azma yake ya kubadilisha sheria ya sukari ili wapate hela nyingi kwa ajili ya uchaguzi. Baadhi ya wabunge wanaotajwa...
  13. O

    Mtazamo binafsi: Wanafunzi wanufaika wa mikopo wafungue mashtaka juu ya ucheleweshwaji wa stahiki zao

    Habari za mda wanajukwaa. Moja kwa moja niende kwemye mada husika. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wanafunzi wa elimu ya juu hapa nchi kuwa wamecheleweshewa stahiki zao( fedha za kujikimu) kutoka bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Ifahamike ya kuwa hizo...
  14. RC Mwassa Asisitiza Wanufaika Kutendewa Haki - TCRS Wazindua Mradi wa Kusaidia Walioathiriwa na Mvua Kagera

    RC MWASSA ASISITIZA WANUFAIKA KUTENDEWA HAKI - TCRS WAZINDUA MRADI WA KUSAIDIA WALIOTHIRIWA NA MVUA KAGERA Mkuu wa Mkoa Kagera Hajat Fatma Mwassa amezindua mradi wa kusaidia kaya 482 zilizoathiriwa na Mvua kubwa iliyonyesha Mwaka jana ikiamabatana na upepo mkali na kusababisha maafa makubwa kwa...
  15. J

    Aweso aanza ziara Lindi kwa kutekeleza maelekezo ya Waziri Mkuu. Agawa pikipiki kwa wanufaika

    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso anaeendelea na ziara ya kikazi mkoani Lindi katika kukagua na kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maji ameanza kwa kutekeleza maagizo ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa alioifanya tarehe 08 January 2024 Lindi. Waziri Aweso alianza...
  16. DOKEZO NHIF watumie mfumo wa fingerprint scanner kutambua wanufaika/ watoto badala ya kusumbua wazazi

    Habari wadau. Kumekuwa na wimbi la wafanyakazi wa NHIF waliopo mahospitali kuwataka wazazi wabadilishe vitambulisho vya watoto kwakuwa picha zilizopo kwenye vitambulisho hazifanani na watoto kutokana na kubadilika. Mimi hiki sikatai. Watoto wadogo wako katika hatua ya makuzi si jambo la...
  17. Wanufaika wa HESLB

    Habari Watanzania, Napenda kuuliza hivi kama kuna ambaye amewah kuwa mnufaika wa HESLB na aka appeal (kata rufaa) na akaongezewa mkopo. Ni mbinu gani ilitumika had akapata licha ya kuwa syo tasaf member, wazazi wapo wote na hamna ulemavu wowote. Nimesema hivo kwa sababu mwaka wa Kwanza 60% ya...
  18. S

    Ingekuwa ni jambo la kimataifa, serikali ingeshindwa mahakamani na pengine kutakiwa kuwalipa fidia Wanufaika wa Bodi ya Mikopo

    Awamu ya tano chini ya Rais wa wakati huo, Marehemu Magufulli, ilikuwa kinara wa kukiuka sheria na kuvunja mikataba na matokeo yake leo hii serikali inashitakiwa huko katika mahakama za kimataifa na nchi kushindwa kesi na kulazimika kulipa mabilioni ya shilingi kama fidia. Walichokifanya katika...
  19. M

    Ushauri kwa Bima ya Afya (NHIF): Wekeni uwiano mzuri kwa wanufaika wa wachangiaji wa mfuko huo

    Napenda kuishauri NHIF kuwa kama utaratibu unaruhusu watu sita (6) kwa mchangiaji basi aruhusiwe kuwaweka bila vipingamizi ilimradi wasizidi idadi hiyo inayokubalika. Mfano kama mchangiaji hana watoto wanne aruhusiwe kuwaweka wengine bila kikwazo. Kama mchangiaji hana wazazi wote au mmoja...
  20. DC wa Rungwe, Jaffar Haniu azindua ujenzi wa Barabara ya Ndulilo - Itete yenye urefu wa Kilometa 11.38

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua ujenzi wa barabara ya Ndulilo mpaka Itete kwa Kiwango cha Lami inayounganisha Kata ya LUFINGO na KYIMO yenye umbali wa KM 11.38 kwa gharama ya Shilingi Bilioni 8.9, leo tarehe 24.8.2023. Akimtambulisha Mkandarasi anayetekeleza Ujenzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…