Maajabu, tume ile inakutana na wateule wanufaika wa utawala wà aliyeiunda

Maajabu, tume ile inakutana na wateule wanufaika wa utawala wà aliyeiunda

Leo ni katelephone. Sasa huyu ana ukweli gani atakaousema wakati ni mnufaika wa utawala aliyeiteua Tume na ni mshukiwa wa matendo àliyoyaundia tume!
Screenshot_20260105-085755~2.png
 
Utashangaa soon watakutana na aliyewateua nae kumhoji
 
Mwamakula kaitwa kakataa,

Mpina kaitwa kakataa.

Chadema huwa mnakuwa na mambo flani ya kupenda ligi sana.
 
Upu
Leo ni katelephone. Sasa huyu ana ukweli gani atakaousema wakati ni mnufaika wa utawala aliyeiteua Tume na ni mshukiwa wa matendo àliyoyaundia tume!
Upumbavu mtupu , sasa katelephone inakutana naye ili iweje ,ili hali mauwaji yanafanyika ,alikua waziri mkuu, hawa wauwaji wanaset mitambo ya kujinasua, ila maji yakisha mwagika hayazoeleki tena , Majaliwa ni sehemu ya wauwaji , sasa anahojiwa ili iweje , kipindi cha mauaji Tz bado alikuwa waziri mkuu, so Majaliwa hacha mara moja mascara, ipo siku nitakuzaba kibao na kukupiga marufuku kanyaga ukweni kwako ,peramio , tueshimiane , vinginevyo weka wazi , nini uliojiwa nini ulijibu,

Kama hutosema nitakupiga marufuku fika maeneo ya Peramio
 
Back
Top Bottom