Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah.
Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
Mimi ni myakyusa kiasili baba yangu myakyusa na mama mkinga, katika kuishi na kukua sasa nimejifunza jambo hili kwa wanyakyusa ni watu wenye upendo sana ukionyesha utu kwao na watu wenye dharau sana ukionyesha unawadharau,. Nilikuwa naona ndugu wa marehemu baba Moja ya ugomvi mkubwa ni pale...
Hawa ndugu zangu wana tabia za hovyo za ujivuni, kibri, hapa duniani tabia hizo hazijawahi kumsaidia mtu.
Mtu kama Mwandosya kama siyo ujivuni na kibri angekuwa mbali. Mwangalie mtu kama Mwabukusi hana lolote lakini mjlvuni, subirini hakuna atakacho-achieve. Hata Ulaya lazima kiongozi uwe...
Kwanza kabisa ieleweke mkoa wa Mbeya kuna makabila mengine kama wasafwa, wandali, wamalila, n.k. Ila wageni wengi huwa tumekariri wanyakyusa sababu ndio main tribe kwa kigezo cha umaarufu, mifano mingine Ruvuma main tribe ni wangoni ila kuna wamatengo, Mara main tribe ni Wakurya ila kuna wajita...
Wakuu habari za asubuhi?
Nafika kazini asubuhi hii, namsalimu jirani yangu ananiambia Tuntufye.
Namuuliza hao si wanyakyusa, anasema majina yote ya wanyakyusa yana maana
Tuntufye ni - tumsifu😀
Gwamaka- mwenye nguvu
Embu wanyakyusa tupeni maana ya majina yenu?
Na hapa nazungumzia Power endelevu miaka nenda rudi, na angalau idadi iwe inaridhisha sio mtu anakuwa moja tu akiondoka panakuwa kimya.
Mara nyingi utaisikia kanda ya pwani, kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini wapo active sana mambo ya power, yani hawapoi.
Ila sasa huku mikoa ya kanda za...
Hawa watu ni wenye akili sana licha ya kwamba ndani mwao kuna michawa, ambayo kamwe haitakuja kuacha legacy yoyote kwenye uongozi wao.
Boniface Mwabukusi: Mwanasheria msomi, mweledi, ambaye amediriki kuupinga kwa dhati hadi mahakamani mkataba mbovu wa bandari ametokea Mbeya.
Dr. Ulimboka...
Spika wa Bunge Dr Tulia Mwansasu umetuaibisha na kutushushia heshima wanyakyusa wenzako kwa kitendo chako cha kukubali kutumika na kupitisha mkataba wa kitapeli wa bandari.
Unatufahamu wanyakyusa hatutaki ujinga kwenye mambo ya msingi, umepewa dhamana kubwa ya kuendesha chombo kikubwa katika...
Naweka facts kwa jinsi zilivyo based on demographics, so hakuna ukabila hapa bali ni demographical facts.
Lets just admit kina Mwaisa they have the southern crown, Southern namaanisha mikoa ya kusini Mbeya, Songwe, Rukwa, Iringa. Njombe, Ruvuma, Mtwara, Lindi,
Nawakumbusha tena Power...
1. Pamoja na kwamba wengi tumesoma mpaka PhD Ila timu yetu ya Tukuyu Stars ndio ilitambulika zaidi kuliko PhD zetu.
2. Tulivyo wa ajabu, hatujisikii aibu kushabikia timu za Ulaya huku timu yetu ikipotea kwenye ramani.
NB: Dr Sugu, Prof Mwandosya, Dr. Tulia, SH Amon-Sauli, Dr Mwakyembe ongozeni...
Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla.
Ni hayo tu kwa leo.
Wanyakyusa aisee hebu rekebisheni hili ndugu zangu mnasalimia salimia Sana mnaongea sana Hadi mnakera na mnajua Kila kitu Yani ujuaji mwingi hii sio fresh sio Poa badilikeni bana!! Mods msifute huu uzi Mimi nilioa Kwa wanyakyusa ila nilimuacha dada Yao nikaoa mpare mwenzangu!
Kwa mikoa yan kanda ya juu kusini kuna Mbeya, Iringa, Njombe , Rukwa na Songwe.
Hakuna shaka kwamba unapokuja ukanda wa nyanza za juu kusini kwa muda mrefu wanyakyusa ndio wamekuwa kabila lenye wasomi wengi zaidi, limeshatoa wanasiasa kibao waliofikia ngazi za juu, watumishi ambao wameshika...
Yani hii Tanzania ukienda mikoa nje ya Mbeya, ukiuliza jiji la Mbeya linakaliwa na kabila gani, fasta mtu anakujibu wanyakyusa lakini ukweli ni kwamba wasafwa ndio wenyeji wa kihistoria na hata hili jina la Mbeya lina asili ya neno la Kisafwa "Ibheya" ambayo maana yake ni chumvi, kilotokea nini...
Habari, naomba kujuzwa kidogo kuhusu tabaia/sifa za watu wa mkoa wa Mbeya hasa (Wanyakyusa). Wanasifa gani tofauti na za makabila mengine hasa Wanaume wa kinyakyusa(Distinctive features)?
Kwanini nauliza?
Well, kwa sababu zangu binafsi. Mara nyingi napenda kujitambulisha kabila langu kua ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.