1. Pamoja na kwamba wengi tumesoma mpaka PhD Ila timu yetu ya Tukuyu Stars ndio ilitambulika zaidi kuliko PhD zetu.
2. Tulivyo wa ajabu, hatujisikii aibu kushabikia timu za Ulaya huku timu yetu ikipotea kwenye ramani.
NB: Dr Sugu, Prof Mwandosya, Dr. Tulia, SH Amon-Sauli, Dr Mwakyembe ongozeni...