Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana(Mb) amesema Serikali imekuwa ikitumia takwimu za kisayansi kufanya maamuzi yaliyojikita kuimarisha uhifadhi wa Wanyamapori ili kuwa na Utalii endelevu.
Mhe.Chana ametoa kauli hiyo leo Oktoba 16,2024 Jijini Arusha wakati akizungumza...
ZOEZI LA SENSA YA WANYAMAPORI LAZINDULIWA RASMI LEO MKOANI MOROGORO
Na Happiness Shayo-Morogoro
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amezindua rasmi zoezi la Sensa ya Wanyamapori lengo ikiwa ni kuhesabu Wanyamapori nchi nzima kwa uhifadhi wa rasilimali za...
Sijui ni bahati mbaya au nzuri ni kuwa kuna habari nyingi za kutisha sana zinatokea huko kwenye hifadhi za taifa kati ya wananchi na askari ila hazifiki kwenye vyombo vya habari. Tukiachilia mbali mauaji pia wanaokamatwa hifadhini hupewa kipigo kitakatifu kabla ya kufikishwa mahakamani. Yaani...
Tanzania imebarikiwa kwa kuwa na hifadhi nyingi za taifa, hifadhi hizi zikiwa chini ya mgawanyiko wa: Hifadhi za taifa, hifadhi teule,hifadhi za mawindo na mapori ya akiba.
Ramani ya hifadhi za Taifa Tanzania
Picha toka mtandaoni Wikipedia
Mfano wa hifadhi hizi ni Serengeti, Mikumi, Saadani...
Moja ya mambo ambayo huwa tunajifariji na kujidanganya nayo wakati wote katika sekta ya utalii ni suala la kuwa na vivutio vingi vya utalii tukimaanisha hasa mbuga na hifadhi za wanyamapori au maliasili iwa ujumla.
Ni jambo zuri kuwa na vitu hivi ila ni vyema tukajia hivi sio vitu vya kipekee...
Wananchi walioathiriwa na mafuriko wilayani Rufiji wameiona thamani na umuhimu wa uwepo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA baada ya leo Aprili 16, 2024 kupokea misaada mbalimbali kutoka kwa taasisi hiyo yenye thamani ya shillingi millioni 20 ikiwemo tani 6.4 za unga wa...
Askari Wanyamapori Bw. Ibrahim Silas Mtaki, Mfanyabiashara wa mbao Bw. Roden Esches Mwalongo na Mjasiriamali Bi. Lilian John Jombe, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kwa shtaka la kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania hasara ya kiasi cha Shilingi 2,231,000/=...
"Uzalishaji wa Tumbaku kwa miaka miwili ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imepanda mpaka mwaka 2023 zimezalishwa Kilo Milioni 122 sawa na dola za kimarekani Milioni 341 za Tumbaku. Msimu wa 2023-2024 wanunuzi wameongeza Uzalishaji wa tani laki 214 ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 900" -...
Ni nyara za Serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.
UPDATE
TAWA kuchunguza Nyara za Serikali kukamatwa Australia
Uhifadhi wa mazingira ya baharini na nchi kavu ni jukumu ambalo binadamu wanapaswa kulitia maanani sana. Tunafahamu kuwa bila kuwa na mazingira mazuri wanyama na binadamu wote watakuwa hatarini. Katika kutimiza wito huo, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, Huawei, imekuwa katika harakati na...
Wananchi wilayani Serengeti watoa ushuhuda hadharani jinsi ndugu zao waliovyouliwa na Askari Nyamapori. Hili lilifanyika katika mkutano wa hadhara uliofanyika Serengeti ambapo Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA, Catherine Ruge aliwapa kipaza sauti wananchi hao kuelezea jinsi ndugu zao...
Kwa masikitiko makubwa sana naandika huu uzi nikiwa sijui itakuwaje kwa wananchi wa Iringa wanaoishi kwa hofu kutokana na kundi la Simba lililopo kwenye maeneo yao. Vyombo vya habari kwa zaidi ya mwezi vimekuwa vikitangaza kila siku kuhusu hao Simba waliotoroka kutoka Ruaha na kuingia kwenye...
Siku chache baada ya Simba kuvamia vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga wilayani iringa,doria iliyofanywa kwa usaidizi wa mbwa anayeitwa Mayele, yatajwa kuleta mafanikio baada ya kuonekana kwa Simba huyo.
lets give credit kwa mbwa mayele😂😂😂.
===========
Siku chache baada ya Simba kuvamia...
UTANGULIZI
Jamhuri ya muungano wa Tanzania (URT) chini ya wizara ya maliasili na utalii (MNRT) yenye dhamana ya kutunga sera, sheria na kanuni za uhifadhi wa rasilimali za asili hasa wanyamapori ili kusimamia na kuleta maendeleo katika sekta ya wanyamapori Tanzania. Miongoni mwa dira ya sekta...
Mtu mmoja Ijumaa alidaiwa kupigwa risasi na kuuawa na maafisa wa polisi baada ya maandamano kuzuka katika mji wa Wajir.
Maandamano hayo yalizuka baada ya maafisa wa Shirika la Huduma ya Wanyamapori (KWS) kudaiwa kuwaua watu wawili wanaoaminika kuwa wawindaji haramu Alhamisi jioni.
Mauaji hayo...
Wasalaam ,
Hongera mhe Mbunge kwa kutetea tatizo kubwa la ajira hapa nchini hasa ktk Wizara ya Maliasili wakati akichangia Wizara ya Utumishi & Utawala Bora kwamba tatizo la ajira nchini limekuwa janga kubwa ambalo viongozi na watawala wamekuwa hawalipi uzito na umuhimu wake na hasa kigezo cha...
Siku ya wanyamapori duniani ambayo inaangukia Machi 3 kila mwaka, ni muhimu sana kwani katika siku hii tunapata muda wa kukumbushana uzuri na maajabu ya mimea na wanyamapori waliomo ndani ya sayari yetu lakini vilevile umuhimu wa viumbe hivi duniani.
Mbali na wajibu tulionao wa kudumisha na...
Dkt. Kigwangalla akiwa Waziri wa Maliasili na Utalii alianzisha bucha za Nyama pori na kuna Wakati tulikuwa tunauziwa pale kijiji cha Makumbusho.
Je, hizo bucha bado zipo?
Ninahitaji Nyama ya Swala au pofu.
Mamlaka ya ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) wafafanua kuhusu ongezeko la Tembo baada ya kunukuliwa vibaya. Ongezeko la Tembo halihatarishi maisha ya Watu na Mali. Uwindaji hufanywa kwa mjibu wa Sheria na Sera ya Wanyamapori ya 2007.
Zaidi, soma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.