Habari zenu wana JF wenzangu.
Niende moja kwa moja kwenye majadiliano ninayo yaleta mbele yenu.
Sasa imekuwa ni kama kawaida kila iitwapo leo katika vyombo vya habari kuna ripotiwa majanga chungu nzima ya madhila ya wanyamapori wanayofanya katika jamii, tembo wanaharibu mazao, juzi kati tuu...
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani zimetiliana saini mkataba wa msaada wenye thamani ya Euro milioni 10 sawa na shilingi bilioni 23.7 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa kukabiliana na migongano kati ya wanyamapori na binadamu, Mradi wa kuwezesha upatikanaji...
Wakati likizo ya majira ya joto inakuja, wazazi wengi pamoja na watoto wao wanatembelea bustani ya Wanyamapori ya Beijing, China.
Kuanzia tarehe 15 Julai, wanafunzi wapatao milioni moja wa shule za msingi na sekondari mjini Beijing wameanza mapumziko yao ya majira ya joto.
Ninaandika hili kwa uchungu mwingi sana. Kumekuwa na matukio mengi hapa nchini ya watu kujeruhiwa au kuliwa kabisa na fisi. Na mara nyingi wahanga huwa ni watoto hasa wale wenye umri mdogo. Hili jambo linalotia uchungu mwingi mno. Mkoani Shinyanga ndo kumekuwa na matukio mengi ya fisi kuleta...
Hawa wanyamapori ni urithi wa Taifa letu.
Hivyo ingekua vizuri walioruhusu kuwauza wanyamapori wachukuliwe hatua, watolewe kwenye hizo nafasi wawekwe watu wenye weledi na wanaotambua umuhimu wa wanyapori katika uchumi endelevu kwa taifa. Sii hivyo tu wafunguliwe kesi za uhujumu uchumi endelevu...
Katika pita zangu mitaani kulikuwa na hoja mbalimbali za majeshi nikasikia kuna jeshi jipya la Uhifadhi nchini lenye vikosi ndani yake, swali kwa nini lilianzishwa? Je, nini majukumu ya jeshi hilo? Nani Mkuu wa Jeshi hilo? Muundo wake ukoje? Wachambuzi na wajuvi wa mambo ya kijeshi nijuzeni...
Hali iko hivyo, tunaelekea kule 7kule tulipotoka, sasa ni rasmi twiga wetu wataanza kupandishwa ndege tena kwenda Ughaibuni.
_______________
Wafanyabishara sasa huru kusafirisha wanyama Pori kutoka Tanzania
Marufuku hiyo imeondolewa kwa muda wa miezi sita ambapo wafanyabiashara watakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.