wanyonge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RIGHT MARKER

    Tendeni haki kwa wanyonge na walio chini yenu

    NENO LA LEO ✓ Tendeni haki kwa wanyonge na walio chini yenu... ✓ Wasaidieni masikini na wenye uhitaji... ✓ Msijaribu kuchelewesha riziki za wenzenu... ✓ Walindeni watoto msiwadhuru wala kuwatelekeza kwasababu ya tamaa zenu za maisha... ✓ Pendaneni msifanyiane fitina wala ubaya wowote... Hiyo ni...
  2. Morning_star

    Nani mwingine mwenye hoja zenye mashiko za kuwajali wanyonge Tanzania aje hapa???

    Kwa wenye umri kama wangu na kunizidini, kwa hoja hii Tanzania tukimuondoa kwanza Mwalimu Nyerere alafu tuwaangalie marais waliorithi kiti chake. Ni Rais yupi aliwapelekea watanzania kwa mamillion yao umeme wa bure vijijini ndani ndani na viunga vya miji katika kaya zilizosahaulika ambazo...
  3. Tlaatlaah

    Kwanini wanaume wenye matatizo ya nguvu za kijinsia huwa wakali mno na wakati mwingine wanakua wanyonge na wenye mfadhaiko sana?

    Kwa mfano pakiwekwa mada au pakianzishwa mjadala unaohusu matatizo ya nguvu za kijinsia, udhaifu katika tendo la ndoa, matatizo ya afya ya uzazi, magonjwa ya zinaa, athari za punyeto na mambo mengine yanayofanana na haya, Mtu huyo anakua mkali sana au anajifanya mtakatifu mno na kwamba...
  4. D

    Kuhusu suala la ajira alaumiwe Hayati Magufuli kurundika graduates mtaani na hapo hapo akajiita eti ni Rais wa wanyonge

    Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu. Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga. Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu...
  5. K

    Tusidharau Malalamiko ya Wanyonge

    Tunadharau malalamiko ya mafukara walio wanyonge, kisha tunawekea watoa rushwa kupata vyeo na kulazimisha mafukara wacheke wakubali waovu kuwa viongozi wao. Kisha, tunatoka hadharani kusema ya kuwa tunamsaidia fukara. Kwa matendo haya, tumelaaniwa kwa laana kubwa ingawa hatujioni wenyewe...
  6. T

    Mwalimu Nyerere: Wanyonyaji wanachukia sana mabadiliko sababu wananufaika na mifumo iliyopo.

    Nimemsikia mwalimu Nyerere akihutubia katika moja ya hotuba zake anasema kwamba mara nyingi wanyonyaji au tabaka nufaika linachukia sana mabadiliko. Ila wanyonge na walalahoi hawaogopi hiyo maana kwa kuunga mkono mabadiliko wanajaribu bahati yao.
  7. D

    Wanyonge aliokuwa anawasema Hayati Magufuli kwamba anawatetea ni wa wapi?

    Hata retention fee tu bodi ya mikopo hakuiondo imekuja kuondolewa na Samia. Zaidi sana aliongeza makato kutoka asilimi 5 mpaka asilimia 15. Ajira hakuzipa kipaumbele kabisa zaidi sana hata chache zilizomuwepo alizimaliza kwa kuwakimbiza wawekezaji sector binafsi
  8. Pdidy

    Jerry silaa apewe u dk wa heshima kijana anapambania ardhi za wanyonge sana mapapa wamekosa amani nae

    Kati ya wizara inayonikosha kwa mama samia n wizara ya ardhi Hii wizara ilijawa na wahunj kila anaeingia anataka kujaza na ardhi mkononi mwake na kusahau majukumu yaliomteua Kati ya wizara bora mama amefanya uteuzi n wizara ya ardhi Mdogo wetu kiumri jerey silaa kwanza una shida ana ingilika...
  9. toriyama

    Raia wa Kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo leo Kariakoo kutoka kwa kina mama wanyonge wenye hasira kali

    Raia wa kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo Leo KARIAKOO na kina mama wanyonge wenye Hasira kali https://x.com/OKisioki/status/1805534690570273276?t=yZtJYTPn70h-bZuPEx2PAQ&s=19 #mgomo KARIAKOO 24/6/2024 Kosa la mchina: Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga
  10. and 300

    CCM ndio mkombozo wa wanyonge

    Chama cha Mapinduzi ndio mkombozo wa watu Wanyonge nchini. Chama cha wakilima na wafanyakazi. NB: uapisho wa Ramaphosa Boeing 787 abiria 246
  11. UDENYE

    Wizi na ufisadi unaonaofanywa na dstv. Serikali mtusaidie wanyonge kwa kuondoa ukiritimba.

    Wadau kwa mara nyengine tena jana tarehe mosi ya mwezi June 2024, kampuni ya DSTV inayomiliki haki ya kipekee ya kuonyesha matangazo ya moja ya mashindano ya ligi barani ulaya ,na khususan Uingereza na ligi ya mabingwa wa ulaya, wamefanya tena wizi wao dhidi ya walala hoi wa Tanganyika na Zenj...
  12. Mad Max

    Hizi App za mikopo online ni mkombozi wa wanyonge au nyonya damu?

    Ni uzi mwingine tena kuhusu Application za kukopesha watu ukiwa na dharura. Sijakopa, ila hii weekend nimetumiwa zaidi ya meseji 8 tofauti tofauti ya watu wanne nnaowajua wamekopa na hawajalipa sasa meseji inasema niwaambie walipe. Wao wanasema mimi niliwekwa kama mdhamini lakini baada ya...
  13. Carlos The Jackal

    Mama Janeth Magufuli: Makonda Usisahau kuwatetea Wanyonge

    Mama anafaham Nchi Ina Wanyonge, anafaham Kwa Sasa Taifa Limekoswa Vijana wa kuwasimamia Wanyonge, Mama Mpendwa, Mama makini, alojaa Upendo na Uwazi, anamtumia Makonda, Kawatetee Wanyonge. Kwanini Makonda nasio Makamba au Nape?. "Usisahau kuwatetea Wanyonge"...
  14. Kasiano Muyenzi

    Dunia hii sio ya wanyonge

    Katika msitu , watu dhaifu huawa huko ili wasipitishe udhaifu. Kwa njia nyingi, jamii ya wanadamu ni msitu. Kuna nguvu mbaya dhidi yako. Lakini kile ambacho hakikuui kinakufanya uwe na nguvu zaidi. Ulipewa maisha haya kwa sababu una nguvu za kuishi. Kwa nini sasa uwe mnyonge? Zingatia kuwa...
  15. Idugunde

    Tayari ziara za Makonda zimekipa ushindi mkubwa CCM mwaka 2025. Kura za raia wanyonge walioonekana kutelekezwa sasa zimerudi CCM

    Hili halina ubishi maana sasa imani ya wanyonge wanaonewa kila siku imerudi kwa kasi mpya kwa wanaCCM. Kwa mantiki hii CCM itapata ushindi mkubwa mwaka 2025 kwa kila kada ya ugombea. Pia hata WanaCHADEMA watampigia kura rais. Maana bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na genge lake huku...
  16. Carlos The Jackal

    Pre GE2025 Mwambieni Dkt. Nchimbi, aache kupambana na Makonda, Nyota ya Makonda imeinuliwa na Mungu ili kuwatetea wanyonge kama alivyokuwa Hayati Magufuli

    Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia . Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!. Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili...
  17. Nyankurungu2020

    Kinachowaponza CHADEMA ni kukataa kuwa hili taifa lina wanyonge. Paul Makonda ndio anapitia hapo hapo na kuwamaliza

    Mnyonge katika nchi yoyote ile ni raia ambae ili apate haki zake lazima asaidiwe kwa nguvu ziada. Hapa nazungumzia haki za kupata huduma za jamii, haki za kisheria na hata tendo la ndoa. Alipokuwepo hayati JPM raia wanyonge walimkubali sababu karata kubwa kwake ilikuwa ni kuhakikisha raia...
  18. Nyankurungu2020

    Kama hayati Magufuli alikiwa dhalimu mbona anakumbukwa na raia wanyonge kila kona na wanamchukia rais Samia?

    Tumieni akili acheni ujinga na upuuzi. Kila kona watu watu wanalalamika kuna dhuluma na uhuni. Mbona hayati Magufuli alipinga haya? Mbona alikusanya mapato na kudhibiti wizi wa mali za umma. Haya mbona hamsemi ukweli kuwa mama amefeli? Mama amefeli
  19. ACT Wazalendo

    Dorothy Semu: Mwaka 2024 tutapigania maisha ya heshima kwa Watanzania wanyonge

    Utangulizi. Tumetimiza siku 10 tangu tuumalize 2023 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2024. Kwa kawaida tumezoeleka kuzungumza na umma kupitia vyombo vya habari kuhusu mambo mbalimbali yaliyojiri kwa mwaka mzima mwishoni mwa mwaka. Tangu kuundwa kwa chombo hiki mwezi Februari 2022 kimekuwa chombo...
  20. Allen Kilewella

    CCM inaongozwa na watu maskini, wanyonge?

    Mara nyingi huwa nawasikia viongozi wa CCM wakijinasibu kuwa chama chao ni chama cha maskini na wanyonge. Kama CCM ni chama cha maskini na wanyonge, jee viongozi wake nao ni maskini na wanyonge kama wanachama wengi wa CCM walivyo??
Back
Top Bottom