wanyonge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Warioba: Wananchi tunaowaita Wanyonge ndio wenye nchi, Katiba ni kipaumbele hata kwenye marekebisho Bungeni

    Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Katiba mpya Jaji Warioba amesema wananchi hawa wanaoitwa " Wanyonge" ndio wenye nchi. Warioba amesema Rais Samia amesimama imara kwenye utendaji wake baada ya kifo cha hayati Magufuli na amekubali kushughulikia suala la katiba mpya. Jaji Warioba amesema kuna...
  2. Zero IQ

    Wabunge wanataka kodi za wanyonge ili wakajilipe Posho na Mishahara minono

    Nchi imekuwa ya kusadikika kweli, kila siku wanabuni mbinu mpya ya kuwakamua wasiojiweza, wenye uwezo mdogo wa kuendesha maisha yao ili matumbo yao yaneemeke. Baada ya kubuni mbinu za kuwainua wananchi ili wapate walipa kodi wengi wao ndio wanazidi kuwakamua na kuwatia umaskini Wawakilishi...
  3. mirindimo

    Dodoma: Nicodamus Maganga (Mbunge) adai Mishahara na Posho haiwatoshi Wabunge. Ashangiliwa...

    "Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga ==== Dodoma. Mbunge wa Mbogwe...
  4. Wakusoma 12

    Mama Samia: Naomba msiwe wanyonge

    Hayo ameyasema wakati akihutubia wananchi wa eneo la Busisi wilayani Sengerema wakati wa ukaguzi wa daraja la Magufuli lenye urefu wa zaidi kilomita zaidi tatu. Je, unyonge wa watanzania umeanza kukemewa na kuwafanya wenye nguvu ndani ya taifa lao? hakika hili jina la wanyonge mi mwenyewe...
  5. J

    CHADEMA inaweza kufanya vizuri bila ruzuku kwa sababu ada za Wanyonge (2500/=) zitawaingizia zaidi ya Tsh 5 Bilioni kwa mwaka

    Kiukweli CHADEMA kwa utaratibu wao mpya wa mfumo wa ada za uanachama wanaweza kufanya vizuri zaidi hata kama hawatapata ruzuku ya Serikali. Kama wanachama milioni mbili wa CHADEMA watalipa tsh 2500 ambayo ni ada ya chini kabisa basi chama kitaingiza Tsh 5 bilioni kwa mwaka. Hapo hujatuingiza...
  6. N

    Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

    Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku. Ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana. Kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri...
  7. Idugunde

    Tujitafakari: Kwanini wananchi wanyonge wamlilie Hugo Chavez na hayati Magufuli?

    Chozi la mnyonge halina thamani? Hapana Mungu huwa analiona. Kwa nini Hugo Chavez na Hayati Magufuli waliliwe na wanyonge kiasi cha kushangaza dunia? Mbona George Bush snr hakuliliwa na wanyonge? Siasa zina mambo mengi sana. Ila mengi ni mabaya.
  8. TheDreamer Thebeliever

    Wanyonge sasa muda wao na wao kuishi kama mashetani, sisi matajiri zamu yetu imekwisha

    Habari wadau..! Kipindi cha Magufuli wanyonge walikula bata ila ss nao wataishi kama mashetani mda si mrefu na kuna kila dalili hizo. Kuna dalili ya kwamba 1. Machinga kuondolewa kando kando ya barabara mda si mrefu 2. Wapo watakaopokonywa makazi yao na matajiri kwa propoganda za kwamba...
  9. K

    Gharama za vifurushi jamani zinaumiza Sana Tunaomba watawala Karibu kuliona ili kwani sisi wanyonge ndo tuna teseka.

    Vifurushi vina faida nyingi kwa kwetu Wana nchi wa chini . Kwanza ndipo chanzo Cha mapato, kwani Kuna wajasiliamali wanaotegemea vifurushi vya internet kufanya biashara zao. Pili wanafunzi wanaotegemea vifurushi vya internet kujisomea
  10. Leslie Mbena

    Siku 40 bila mwamba: Ulituheshimisha sisi wanyonge na masikini, pumzika kwa amani Hayati Dkt. Magufuli

    SIKU 40 BILA MWAMBA: ULITUHESHIMISHA SISI WANYONGE NA MASIKINI,PUMZIKA KWA AMANI JPM. Katika awamu ya nne ya Rais Mstaafu Kikwete kurudi nyuma hadi Azimio la Zanzibar, Matajiri na Wafanyabiashara walikuwa na Jeuri za kila aina,kwa maana walianza kufanikiwa kuifanya CCM kuwa ya Wafanyabiashara...
  11. YEHODAYA

    Viongozi serikali bunge na mahakama pateni mipesa yote ila wananchi wanyonge wanachoangalia ni mumewasaidiaje?

    Kama kichwa kinavyojieleza lipaneni mipesa yote kama mishahara na miposho mtakula na mtakufa hamtaishi milele kumbukeni wanyonge walio wengi
  12. Nigrastratatract nerve

    Machinga waanza kunyanyaswa rasmi hawatakiwi huu si wakati wa wanyonge

    Hili ni Eneo la Shule ya Sekondari Mabati Mjini Njombe ambako Meza za Wafanyabiashara wadogo (#Machinga) zimetupwa na Mgambo wa Halmashauri ya Mji huku wafanyabiashara hao wakitakiwa kuondoka pembezoni mwa Barabara na wahamie katika Soko la Dodoma. Maskini baba aliwambia kufanya biashara...
  13. M

    Mtusamehe tu Sisi tulioitwa ' Wanyonge ' sasa tumeshapata Akili na kwa kilichotokea Salamu yetu rasmi itakuwa ni hii...

    " Nawasalimu kwa Jina la CAG " ambapo Wanyonge wenzangu nanyi mtaitikia kwa kusema ' Tumepigwa Sana ' sawa? Kuitwa Mnyonge kwa Tanzania yetu hii Kutukanwa na Kufanywa huna Akili hivyo tusiitane tena tafadhali. Ni nchi gani barani Afrika kwa Mila zake kama Mtu akiwakosea Mamilioni akifa tu...
  14. Victor Mlaki

    Kwanini Watazania tunaitwa wanyonge?

    Watanzania ni wanyonge kwa sababu ya unafiki wa wabunge wetu. Bunge letu ndiyo chanzo cha unyonge wetu. Tuna wabunge vigeugeu sana katika Taaifa hili. Kwenye elimu ya juu walishiriki kupitisha sheria kandamizi iliyosukuma mabadikiko ya makato lakini leo wamesahau wanapiga makofi kwenye ripoti...
  15. K

    Wafanyakazi wanaonyimwa fao lao sio wanyonge?

    Ninaomba tafsiri ya wanyonge kwa nchi hii tafadhali? Maana ninapata shida kusikia Boda Boda ni mnyonge, na nina ushahidi hawa vijana wa Boda Boda, wanaingiza kipato zaidi ya shilingi laki sita kwa mwezi. Mfanyakazi mwenye mshahara wa laki tatu hadi laki tano, mkataba wake unaisha, ananyimwa...
  16. Zakamwamoba

    Wanyonge hatuna chetu awamu hii

    Siku za karibuni watu wamepotosha maana ya wanyonge na kusema Tusijite wanyonge. Guys wanyonge ni wale watu wa hali ya nchi ambao mara nyingi wanakosa wa kuwaseme,kama vile boda boda nk. Rais JPM alijitahidi sana kuwa karibu na watu hawa na kwa uhalisia kundi hili lina watu wengi. Nimereview...
  17. M

    TCRA na Waziri Ndugulile, wanyonge mliotuumiza jana tunahitaji tu kupata majibu ya haya maswali yetu

    1. Baada ya Kuamuru jana kuwa Vifurushi vya zamani virejeshwe na viendelee je, ni Saa ngapi hilo litafanyika kwani mpaka sasa bado havijabadilika? 2. Je, wale ambao Jana walinunua Vifurushi vyenu vya Ukatili na Kutukomoa mtawasaidiaje na kuwafidia kutokana na Upuuzi wenu? 3. Ni saa ngapi...
  18. DR HAYA LAND

    21days of mourning with new troubles of economic shake "Wanyonge" we are survive as flies

    Hayo madini tulionayo , Tafuteni kodi huko Punguzeni mishahara ya Wabunge Sisi "Wanyonge tumewakosea nn mpaka mtufanyie hivi .?
  19. Mwanamayu

    Hivi hawa Watanzania 'wanyonge' wana sifa zipi? Na wanapataje hizo sifa?

    Inaonekana neno 'wanyonge' limeshika kasi katika matumizi yake hapa Tanzania, na kutumiwa sana na baadhi ya wakuu kabisa wa nchi. Kwa mujibu wa baadhi ya machapisho, 'wanyonge' maana yake ni 'masikini sana', au 'watu wadhaifu katika jamii'. Kwa Kiingereza ni 'disadvantaged', 'abject poor', au...
Back
Top Bottom