Tunadharau malalamiko ya mafukara walio wanyonge, kisha tunawekea watoa rushwa kupata vyeo na kulazimisha mafukara wacheke wakubali waovu kuwa viongozi wao. Kisha, tunatoka hadharani kusema ya kuwa tunamsaidia fukara. Kwa matendo haya, tumelaaniwa kwa laana kubwa ingawa hatujioni wenyewe...