Katika hali isiyo ya kawaida, mabasi/ daladala zenye TLB inayotolewa na LATRA Mbaga mpaka GEREZANI/ Kariakoo imekuwa shamba la bibi.
Kutoka kituo cha Kariakoo, Gerezani mpaka makao makuu ya LATRA ni kilometa 2 tu lakini Daladala zikifika kariakoo siti za kukaa ni shilingi 1000 na kusimama ni...