Ninaomba tafsiri ya wanyonge kwa nchi hii tafadhali?
Maana ninapata shida kusikia Boda Boda ni mnyonge, na nina ushahidi hawa vijana wa Boda Boda, wanaingiza kipato zaidi ya shilingi laki sita kwa mwezi. Mfanyakazi mwenye mshahara wa laki tatu hadi laki tano, mkataba wake unaisha, ananyimwa...