Nimemsikia akisema No Reform,No Election,
Akaongeza kuwa vinginevyo ataitisha maandamano nchi nzima.
Hao watu wa kuandamana atawatoa waoi?
Nchi imejaa chawa na waoga.mara ya mwisho kuona maandamano ilikuwa 2005 au 2006 wanafunzi wa UDSM wakipinga sera ya bodi ya mikopo,kuanzia hapo maandamano...
Kuna Raia wajinga sana Taifa hili, kutwa nzima utasikia ohoo Mbowe kanunuliwa, Mara Chadema haina mvuto tena mara sijui Lisu ikapanda ikashuka.
Je Upinzani sio Ideology kwa Tanzania ila ni ideology kwa mataifa mengine?
Kule Kenya kuna watu wanaendesha Movement na hawana vyama wala offisi...
Uganda wamekuwa wa kwanza kwa EAC kufuzu Afcon Ila cha kunishangaza huku Uganda sioni Mseveni akitajwa polote pale. Na raia wako kimya kana kwamba hakuna kilicho tokea. Nikajisemea sasa ingekuwa kule kwetu, nahisi mida hii tusingelala kungekuwa kuna Jam kwenye TV na radio za kuabudu na kusifia...
Sehemu kubwa ya watanzania ni waoga sana kwenye kupambana hadharani na CCM.
Lakini watanzania hao hao ni mafundi wabobevu kwenye kuilaumu CHADEMA.
Na watanzania wengi sana ni rahisi na wanaona ni salama kwao kushabikia propaganda za CCM dhidi ya CHADEMA kuliko kuunga mkono ukweli unaosemwa na...
Vijana wa kitanzania bila kinga ya system ni watu waoga sana
Nyerere aliwahi kusema“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na...
Hawa watu kama wanafikiri kuteka na kuua watu ndio kutafanya watu wawe waoga, kwa hakika wanakosea sana, na aliewashauri aliwadanganya kwa kutokuja na kwa kutofanya research ndogo tu kujua kama vitendo hivi sehemu zingine duniani zimewahi kuwa msaada kwa watawala.
Hapa napoandika, huko Tanga...
Unakuta mtu ni mwanaume kabisa lakini ni muoga balaa..jirani yangu kaingia nyoka ndani kwake kagoma kuingia kaniiita,mke wake kajisikia aibu sana.
Unakuta mtu anaogopa kuangalia graphic videos eti anaogopa! Hivi utaweza kweli kutoa maiti ndani?
Wanaume tuubadilike.
Ushakutana na watu waoga...
Mijini na vijijini manung'uniko yametawala!
Watumishi wa umma wanaonekana wana furaha lakini mioyoni wanaugulia maumivu!
Hata tabasamu za wengine zinaweza zikawa na tafsiri tofauti. Labda ni kilio kilichopunguzwa makali!
Watu wanalia lakini hawataki ijulikane kuwa wana majonzi!
Ndivyo...
Sawa nyie wajanja mnaendelea kunyamazisha mashabiki na wanachama kwa kutoa maoni yao, Mimi ningekuwa Dr.Mohamed ningekwenda mahakamani kuomba tafsiri ya kisheria ya ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inanipa uhuru WA kutoa maoni yangu, kutoa maoni ni inherent power...
Tanzania tuko njia panda kwa kweli. Tuna vijana ambao wamekulia kwenye uchawa na wanajali uongozi tu na wazee ambao hata kama wanajua na wana busara wanaogopa mawe ya CCM. Upinzani tuna vijana machachari ambao wapo tayari kwa lolote, kuna wanaopenda uboss na madaraka na wengine wamenunuliwa. Je...
Suala la muungano wa tanganyika na zanzibar, liko wazi kuwa huu muuungano unafaida zaidi kwa wazanzibar na hasara kwa watanganyika.
Nivile ccm kumejaa waoga, wachumia tumbo na wanafiki, ila ukweli uko wazi tanganyika tunanyonywa sana na hichi kinchi cha visiwani, vijana wetu wakitanganyika...
Mimi si dakari wala mtaalamu wa mambo ya lishe, bali nimejaribu kusoma vyanzo mbalimbali kuhusu huu ugonjwa na kote nilikupita sijaona palipoandikwa moja kwa moja kuwa sukari ndio chanzo cha kisukari kwa maana ya mtu asie na huu ugonjwa akitumia sukari nyingi ana uwezekano wa kupata kisukari...
Najua wengine watakimbilia kusema "motivational speaker", lakini hata kama wote watakejeli, kejeli zao hazitaubadili ukweli ninaoenda kuuwasilisha!
Kenya ndiyo nchi inayoongoza Afrika Mashariki kwa kusafirisha nje mboga na matunda. Lakini wakati huo huo, Tanzania ina eneo kubwa linalofaa kwa...
Kila mara na kila wakati tumekuwa tukisema hapa JF, uislamu hauwezi kuwaunganisha waarabu na haujawahi kuwaunganisha waarabu (kwa sababu waarabu sio waumini wazuri wa kiislamu japokuwa hutumia uislamu kama utamaduni wao wa kujitambulisha, kujisambaza duniani na kufunikia mambo yao).
Ni rahisi...
Naongea sana mambo yasio serious humu jukwaani ila ngoja nifunge mwaka kwa kuongea sense kdg.
Kuna nyuzi humu zinaongelea mambo ya UTT na Bonds, niwaambie ukweli haya mambo ili ikulipe kwa zile monthly returns ni lazima kwanza uweke hela kubwa sana, more than 500m, na incase ukiweka 1 billion...
Wanaukumbi.
Wanajeshi wa Israel wanachapisha video inayowaonyesha wakimtesa kiziwi kutoka Gaza. Hili linakubalika kabisa kwa utawala wa mauaji ya halaiki huko Tel Aviv na kusherehekewa na Wazayuni kote Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Israel haina nafasi katika Asia ya Magharibi...
Kisu ni moja ya silaha hatari sana ila watu wanachukulia poa. Kuna sehemu kisu kikigusa ni kitendo cha sekunde kadhaa tu unapoteza lita za damu
Hivi karibuni kuna kijana kachomwa kisu ikiwa ni muendelezo wa matukio haya ya kinyama, Pichani ni Marehemu Bennyrick Lamar akiwa kapakiwa kwenye...
Ni maneno ya hekima na busara sana kutoka kwake Tundu Antipas Lissu:
"Kwamba watanzania si waoga bali hao wenye kuyasema hayo, ndiyo pekee walio waoga."
Kwamba watanzania wanahitaji kuhamasishwa na kuongozwa na watu wanaowaamini.
Kumbe ni wapi ambako wananchi huko, kuhamasishwa, au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.