Kwema Wakuu.
Hii ni kwa mtizamo wangu, muono wangu, kila nitakachoeleza kitatokana na uelewa wangu kuhusu vile ninavyowajua Watu na binadamu. Yeyote anaweza kunipinga kwa hoja na kulingana na mtazamo wake.
Nachelea kusema kwenye huu ulimwengu, hakuna Watu waoga kama waarabu.
Ninasema hivyo kwa...
Niende moja kwa moja kwenda jambo la msingi.
Ninayezungumza hapa pia ni kijana sio kwamba ni mtu mzima sanaa kivile, hapana. Naanza kwa kusema hili; ili kuondoa ile dhana ambayo kwa sasa inalalamikiwa na vijana wengi mitandaoni kwamba "Wazee" na "Watu wazima waliofanikiwa" wanawaonea vijana kwa...
Nashangaa kuona bado hizi fikra za kale zinaendelea "kila mtu ajitafutie cha kwake", mtoto wa mfanyabiashara anafika miaka 23 hana utofauti na watoto wa mwalimu, yani hajui kitu kuhusu biashara kiasi kwamba hata akimaliza chuo anafikiria mshahara, hata akikosa ajira mzazi kwenye account ana...
Wote tunakumbuka miaka ya 2008-2010 jinsi chombo kilivyo kuwa imara katika utoaji wa habari bila upendeleo wa chama chochote cha siasa mengi yaliibuliwa na viongozi wa upinzani
TBC nayo ilikuwa kwenye ubora wake kiasi chake chini ya mkurugenzi wake Tido mhando
Chombo hichi cha habari naona...
Jana Jumapili ya tarehe 23/07/2023, CHADEMA na SAUTI YA WATANZANIA, walikuwa na mkutano mkubwa sana juu ya kupinga uuzwaji/ubinafsishaji wa Bandari za Tanzania.
Mimi kama mmoja ya wahudhuriaji wa mkutano huo, nilifurahia sana jinsi mkutano ulivyoratibiwa kwa umakini wa hali ya juu...
Hii natoa tahadhari kwa kiongozi yeyote wa Umma kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini. Msiwachukulie poa watanzania....watanzania sio kabisa. Ni wavumilivu kweli, lakini uvumilivu una mwisho. Tuishi.
Nasikia sikiaga watu wakisema watanzania ni waoga, tena sana. Kwamba, Kenya ndio watu sio waoga...
Ndugu zangu,
Ukiangalia nchi za wenzetu utaona jinsi watu wao ambavyo hawataki masihara. Jambo dogo tu wanaamka na kukomaa vibaya mno, lengo ni kutaka serikali ilifanyie kazi ama laa sauti zao zisikike.
Hapa kwetu Tanzania aisee, watu wamepoa sana, je, ni upole uliopitiliza au uoga? Na madhara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.