Haya maisha raha sana, mwaka huu baada ya kutembelea Tunduru miezi kadhaa ilopita, nikarudi town, punde baada ya kurejea sikupata simu, meseji, wala chats toka kwa baadhi ya marafiki wa karibu.
Nilijiuliza sana sana niliona kama masihara vile, baada ya siku tatu Mama mchungaji Lt akanipigia...
Kuna namna Ukraine wameibuka kama ambao wamepagawa, fulu kujitoa mhanga aisei....mzuka hadi basi, hii imewashangaza Urusi mpaka wakapoteana, wakawa wanauawa kama nzige, imefikia hatua za kuagizwa wakimbie mapambano, wameacha silaha na kutoka nduki.
Vijana wanakomboa ardhi yao, bendera yao...
Urusi imemtuma rais wa Uturuki aongee na Zelensky watafute mbinu za kumaliza vita, hili limemshangaza sana maana siku zote ndilo lilikua ombi lake, hususan ile siku Urusi ilikua inajaribu kuparamia Kyev kabla kuangukia pua.
Asema hadi Urusi iwaondoe wanajeshi wake, ni mwendo wa mapigo tu...
Sina maneno mengi. Maandalizi,mipango ya mechi na mechi yenyewe yamefanyika hadharani kila mtu ameona. Mpira una matokeo matatu,lakini sisi sio wa kufungwa kila siku na Yanga.
Kocha anafanya majaribio kwa Yanga,akaingia bila kuheshimu mpinzani.
Mnatuhujumu waziwazi. Mnamuacha kocha anajifanyia...
Serikali ya Ufaransa imewataka raia wake kuondoka Nchini Urusi kutokana na mashambulizi yakijeshi yanayoendelea kwa jeshi la taifa hilo dhidi ya Ukraine.
Serikali za mataifa mengine nazo zimeshatoa tangazo la kuwaondoa raia wake nchini humo ikiwemo Uingereza kutokana na vikwazo ambavyo vimekuwa...
Amani iwe nanyi
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu, ninayejali maendeleo ya Watanzania wote vizazi na vizazi, leo nasema kwa Sauti moja, Kama tunajali maendeleo ya Tanzania yetu, Ni lazima wamasai waondoke Ngorongoro ili lile eneo liendelee kuwa na wanyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.