Haya maisha raha sana, mwaka huu baada ya kutembelea Tunduru miezi kadhaa ilopita, nikarudi town, punde baada ya kurejea sikupata simu, meseji, wala chats toka kwa baadhi ya marafiki wa karibu.
Nilijiuliza sana sana niliona kama masihara vile, baada ya siku tatu Mama mchungaji Lt akanipigia...