Walimsema sana Sabaya kuwa aliua watu, alitesa watu, aliteka mali za watu. Leo hii umekosekana ushahidi wa kueleweka wa kumfunga.
Mdogo wangu Makonda ndo alisingiziwa mengi sana. Mpaka akahusishwa na kupigwa risasi kwa Lissu Antipas (Mungu azidi mponya) kumbe wala maskini. Makonda hakuwa na...
Tuwapongeze upendo Radio kwa kusimamia maadili ya Vyombo vya habari
Radio nyingine zote sasa zimekuwa ni Kamari,Kamari hata ile ya taifa ni kuhamasiha Kamari tu, matangazo ya waganga wa Kienyeji, Manambii ambao mienendo na matendo yao yanatiliwa shaka, shuhuda za Uongo kuna Radio moja kila...
Nimesema makala ya Gazeti la mwananchi unayosema CRDB walifungua Tawi chato Kwa kulazimisha na magufuli na mara baada ya kumfariji kwako tawi walilifunga.
Je ni kweli chato Kwa sasa hakuna tawi la CRDB na NMB? Ukweli ni kwamba sasa hivi banki zote mbili wamepanua matawi yao kuwa makubwa na...
Habari
Niliomba vyeti mbali kupitia system yao ijulikanayo kama RITA ONLINE, nimeomba toka mwezi November na leo Januari sijajibiwa, wanasema tu payment received, Payment status, ukiwauliza wanasema wanajibu baada ya siku 10 za kazi
Sasa nina zaidi ya mwezi hakuna progress yoyote, na ni zaid...
Kwenye demokrasia hakuna kitu cha maana huwa kinafanyika. Mnaishia tu kuwa na viongozi waongeaji sana na waongo waongo.
Wanaotatua matatizo kwa maneno na si matendo. Watu wa zamani waliona kabisa ubaya wa huu mfumo. Leo nchi yetu imejaa wapiga maneno, matapeli na waongo-waongo.
Mtu anaweza...
"Njombe mkulima analima heka moja ya viazi mviringo, anavuna gunia 206 anauza elfu 40 anapata milioni 8, amewekeza milioni, sasa uzalishaji wenye tija upo Njombe" - Anthony Mtaka, Mkuu wa mkoa wa Njombe.
Chanzo: EastAfricaTelevision
Tafadhali hebu tuacheni kwa sasa!!!
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.
Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe...
Najaribu kutafakari namna Viongozi wetu wenye CV nzuri na waliozunguka dunia wanavyoishi wakipewa madaraka. Ni viumbe wanaoongeza kwa kudanganya na kujidanganya. Pamoja na maisha yote waliyoishi DUNIANI Bado wapo tayari kuishi Kwa uongo uongo wakiamini na wananchi wanadanganyika.
Tulitegemea...
Mada mbili hizi zinajielekeza wazi nini kifanyike sasa kwa maslahi ya taifa:
#1: Mheshimiwa Majaliwa juzi alituhakikishia upo umeme wa kutosha:
#2: Tanesco leo wanatutaarifu kuwa umeme hautoshi:
Ya nini kumung'unya maneno?
Pana mtu hapa amejipambanua kuwa mwongo mzoefu. Haonyeshi hata...
Wana Jf
Nimefanya ziara ya kiutafiti wa sehemu inayoweza kustawisha zao la kibiashara kwa ubora wa juu. Nilishangazwa kukutana na maendeleo yaliyopo mkoa wa kagera. Hususani nyumba za kifahari ambazo ukikusanya unaweza kupata mji wa Arusha. Nlijiuliza kwanini wahaya hawajengi mji. Kumbe wana...
33341
Kuna habari kuwa mama kavunja rekodi ya makusanyo ya Kodi tangu Tanzania ipate Uhuru kwa kufikia 1.9 T, zilizokusanywa kwa njia Bora kabisa bila kutumia nguvu.
Watu wanarukaruka na kushangilia kwa pambio na ngonjera za kutosha huku wakijua Wanasema uongo, tofauti na ukweli huo tokeni...
Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali.
UPDATE: Mashtaka
Mwenyekiti wa...
Jamani hivi wamama mnawezaje kumudu hawa wanaume wabinafsi? Yaan mwanaume asiyesikia uchungu au maumivu ambaye wewe kama mwanamke wake unayapitia
Mwanaume opportunitist tu,selfish tu, anajali tu maisha yake tu
Mwanaume ambaye ni muongo kwa asilimia 99
Kudanganya kupo ila sio huyu wangu aisee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.