Mwenyekiti wa Jukwaa la Vijana Taifa kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Yusuph, amempa onyo Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Faris Burhan, akimtaka kuhakikisha ushindani wa kisiasa unafanyika kwa hoja badala ya vitendo vya utekaji.
Yusuph ametoa kauli hiyo wakati...