The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Makonda amekaidi wito wa tume ya haki za binadamu na utawala bora, kiburi ameitoa wapi, Rais anachukuliaje hizo dharau? Km vp hiyo tume ifutwe au imeundwa kwa ajili ya kina nani. Makonda hafai kuwa kiongozi mkubwa, yupo kupumbaza wajinga.
Pia soma: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora...
Nashindwa kujua kwanini serikali haikuwapeleka hawa wasanii wawili huko Korea wakati mchango wao kwenye maigizo ya vichekesho upo wazi. Anyway mimi nataka nije dar kesho kutwa sasa natamani kweli nikutane na bambo nimnunulie bia najua kwa sasa maskani zao nahisi ni tabata bima au magengeni ila...
Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka.
Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na...
Nibebe - Nyota Ndogo
“Nibebe” from the album “Mpenzi”
Nyota Ndogo featuring Nonini
Nonini
Ngoma kali hufanya niwakumbushe wakenya
Vile Swahili ni kitamu
Au sio
Nyota aa, Nyota aa
Ndogo oo, Ndogo oo
Nakupenda sana sitoficha
Kama kukupenda ni makosa
Sitaki kuwa sawa duniani
Kwani nakupenda sio...
Salaam Wakuu,
Naishukuru Serikali kwa kupitia Shirika la reli Tanzania TRC kwa kuendelea na jitihada za kuboresha miundombinu yetu la reli.
Ila kinachonisitikisha, ni uamuzi wa kupachika jina la Mwenyekiti wa chama cha Siasa(CCM) bla kuwashirikisha Wananchi Wanaotoa kodi zao. Hii ni haki...
Ukiumwa ndugu zako hawata kuchangia wala kukupa msaada wakidai hawana kitu, ila ukifa watasafiri kutoka mbali kuja kukuzika tena wakiwa na vitu kwaajili ya kumaliza kilio chako
hizo pesa za usafiri sijui wanatoaga wapi, hii inanikumbusha ule usemi wa kwamba unaweza ukafa Kwa njaa alafu siku ya...
Habari ndio hio, watu wanawasifia Israel oh anauwezo wa kugundua kila kitu, hamna lolote.
Sababu ya Israel kuwauwa makamanda wa Hezbullah ni Cyprus, alijidai yeye ndio atagharamia kila kitu na ku control kumbe ni Israel ndio katoa pesa ili apate access ya kuwanasa Hezbullah ukweli ndio huo.
---...
Wakuu samahani naomba kuuliza na kujuzwa wapi walipo hawa member wa kitambpo wa JF?
Walipatwa na umauti?
Walibadirisha ID?
Wako wapi?
GUDume
Zero Iq
Joseverest
Na wengine wengine wakongwe wa JF
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mko wapi kwenye hii kashfa ya Sukari? mmeshamsikia Waziri Bashe, Mmeshamsikia Mpina, mmeshamsikia Tulia, mmeshaisikia Kamati ya Bunge, mmeshawasilikia wazalishaji na mmeshamsikiliza mkurugenzi wa Bodi ya Sukari na maoni mbalimbali ya watanzania...
Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh na Wanahabari, hoja za mh. Mbunge Mpina kuhusu harufu ya rushwa katika mchakato wa uagizaji sukari mmezielewa?
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba, katika Nchi za Afrika mashariki, ni Tanzania pekee yenye bei kubwa ya sukari. Hii inathibitisha ukweli wa hoja za mh...
Sijui ni ushamba au mimi ndio sielewi, sikuingia kwenye app yangu ya CRDB takribani mwezi mzima, Leo nikasema niingie ninunue vocha, kabla ya kununua vocha nikaona niangalie salio Kwanza, hapo nikakuta ongezeko la kiasi cha 468,000 imeongezeka kwenye kiasi kilichokuwepo mwanzo.
Nikasema niende...
Huyu jamaa ni moja ya watu wenye vipaji na amekuja tofauti kabisa na comedian tuliowazoea. Comedian wenye hutumia maneno kuchekesha, lakini yeye anafanya komedi ya soka
Je, ni nani huyu mtu? Namuona huvaa jezi ya Taifa Stairs kwenye clips zake, bila shaka ni mtanzania, sina hakika. Lakini...
Najiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini?
Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri?
Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.