Serikali imesema katika mwaka 2023/2024, shughuli za maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 pamoja na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka 2024 zitaendelea.
“Kazi zitakazofanyika ni pamoja na kulifanyia maboresho Daftari la Kudumu la Wapiga Kura; kuboresha mifumo ya menejimenti...
Sijui imekaaje hii kisiasa mimi sio mwanasiasa ila naamini nguvu yoyote bila legitimacy ya umma haiwezekani.
Mbowe alikuwa akimwaga sifa kwa Mama Samia uku akiiponda serikali ya Magufuli.
Maoni yake yamewakera sana wananchi na wameonesha hisia zao kupitia kurasa ya Instagram ya jamiiforums...
Dk Tulia anapata wapi kiburi cha kuwaambia wapiga kura wake Mbeya waache Majungu
=====
SPIKA wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk Tulia Ackson amewataka wananchi kuacha tabia za kuendekeza majungu na badala yake wajikite katika kujenga Taifa.
Dk Tulia aliyasema hayo jana wakati...
Hayati Magufuli anawaumbua akiwa amekufa mlitegemea mradi huo ungepaisha majina yenu lkn wananchi mnaendelea kuwatia hasira
Wananchi wanaona wazi waliyempenda na aliyekuwa rafiki yao anaandamwa na vijana wa mjini kwa nn mnajiaibisha kiasi hiki badilkeni someni alama Za nyakati wenye nchi ni...
Seneta mteule wa Busia Okiya Omtatah Jumatano alidai kuwa kuna zaidi ya kura 500,000 ambazo hazijaelezewa katika takwimu zilizotangazwa na Tume ya uchaguzi baada ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9.
Akizungumza katika Mahakama ya Juu, Bw Omtatah alisema “wapiga kura hewa” 508,687 walishiriki uchaguzi...
Akiwa katika mji wa Makambako Rais Samia amewapongeza viongozi wa Halmashauri kwa kuvuka malengo ya Ukusanyaji wa mapato na amewataka wabuni Vyanzo vipya vya Mapato.
Rais Samia amekuwa akisisitiza ubunifu mzuri wa Ukusanyaji wa mapato ya serikali mara kwa mara ili kuiongezea uwezo wa kutoa...
Polisi walinasa malori mawili katika eneo bunge la Endebess Kaunti ya Trans Nzoia yakidaiwa kuwabeba wapiga kura 91 kutoka taifa jirani la Uganda kulekea vituo mbalimbali vya kupigia kura.
Watu 65 walifanikiwa kutoroka kufuatia usaidizi wa Mbunge wa Endebess Robert Pukose ambaye alipaza kilio...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Antipas Lissu akiangalia mgawanyo wa majimbo yenye watu wengi zaidi anagundua kuwa haiwakilishi na idadi inayostahili ya wabunge. Wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es Salaam Mwanzo
Mfano mkoa wa Dar es Salaam ulitakiwa kuwa na wabunge wasiopungua 25. Lakini una...
Usalama umeonekana kuimarishwa eneo la Bunge wakati Wabunge wakijiandaa kupiga Kura itakayoamua nani atakuwa Rais wa Nchi hiyo. Rais wa Mpito wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ni miongoni mwa wagombea watatu wa Urais
Wananchi wengi wameonekana kutomuunga mkono Wickremesinghe ambaye awali...
Ninajiuliza huyu mbunge atapigiwa kura na nani huko Ngorongoro baada ta wapiga kura wake kuhamishiwa Handeni?
Sijasikia familia ya huyo Mbunge imehamishiwa Handeni kutoka Ngorongoro.
Pili baada ya Wamaasai kuhamishwa Ngorongoro hiyo wilaya itafutwa kiutawala au nini hatima yake?
Wafanyabiashara Soko la Karume wamekosa mtetezi, hakuna Diwani, Mbunge Wala kiaongozi wa kisiasa aliyefika kuzungumza nao kutokana na janga la moto.
Kibaya Soko lipo opposite na ofisi ya Mkuu wa Mkoa mdogo wangu Amos Makala, watu wamepoteza biashara zao Mkuu wa Mkoa hata kama jirani ajafika...
Watanzania tumerogwa; yaani tunafurahia matokeo feki huku elimu yetu ikizidi kushuka kila mwaka. Aliyeturoga kafa. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya matokeo ya darasa la nne (SFNA), kidato cha pili (FTNA) na kidato cha nne (CSEE) kutolewa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) hivi karibuni na...
Kinyang'anyiro cha kuamua ni nani atakayemrithi Kansela wa Ujerumani, maarufu na ambaye amehudumu kwa muda mrefu zaidi Angela Merkel kinaweza kuwa kikali huku Wajerumani wakianza uchaguzi wa wabunge hii leo.
Mitaa ya Mji mkuu Berlin inakaribisha mashindano yam bio za marathoni za mwaka , lakini...
Mama Samia unaingizwa chaka na wasaidizi wako, mwaka 2025 CCM itakuwa na kazi ngumu ya kuwashawishi wapiga kura. Wakina Mwigulu ni Wapambe wasaka tonge wa 2025.
Kama kichwa cha habari kinavyosema katika kila serikali inapoingia madarakani inakuwa na watu wake yaani hao ndio chama chamani hakuna...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mbunge wa Tarime Mwita Waitara akifundisha somo la Hisabati katika Shule ya Sekondari Nyamwigura Tarime hivi karibuni.
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari https://t.co/kjYGNCmYC7
Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!
Haki gani wanayoidai hawa Chadema?
Mbona...
Wakati St. Judy inapitia matatizo juu ya madeni Hadi kufikia wanafunzi kugoma na wafanyakazi kurejeshwa nyumbani Mrisho Gambo hakusema lolote Wala akuwatetea kwa chochote. Leo hii baada ya hali kutulia anaibuka Bungeni nakuzungumza huku akijua kabisa muda wa machungu umepita na Sasa shule ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.