Urusi imepoteza wanajeshi 260,820 nchini Ukraine tangu ilipoanzisha uvamizi wake mwishoni mwa Februari 2022, Mkuu wa Jeshi la Wanajeshi la Ukraine amedai.
Takwimu hazijathibitishwa na ni tofauti sana na ripoti ya Urusi
Katika sasisho lake, wafanyikazi wa jumla pia walisema kwamba, tangu...
Kamanda mkuu wa ADF, wapiganaji 3 wauawa DR Congo
AFPCopyright: AFP
Wanajeshi wa Uganda Pamoja na wenzao wa DR congo wamefanikiwa kumuua kamanda mmoja wa kundi la ADF pamoja na wapiganaji wengine watatu kwa mujibu wa mamlaka siku ya Ijumaa kwa mujibu wa mtandao wa The Monitor nchini humo...
Serikali ya Urusi inataka kuanza zoezi la kutambua rasmi makundi ya mamluki ndani ya nchi, maana kwamba yeyote anaibuka na kubuni jeshi lake la mamluki kisha analisajiri na kuanza kufanya yake popote.
MOSCOW - The Kremlin said Friday that Russia could grant legal status to private military...
Ukraine wameki washa washa hadi Wagner wanaomba waongezwe hadi wafikie 200,000 maana jeshi la Urusi linapata kipigo sana.
The mercenary Wagner Group chief Yevgeny Prigozhin has called on Moscow to provide him with 200,000 troops in order to halt the long-promised Ukrainian counteroffensive, as...
Haya yamesemwa na kiongozi wa Wagner, ambaye kila siku anatoa matamko baada ya kukimbia mapambano ya Bakhmut
June 2 (Reuters) - Russian mercenary boss Yevgeny Prigozhin, who has been arguing with top military brass for months, on Friday escalated the feud by accusing pro-Moscow forces of trying...
Wanajeshi 20,000 wa kundi la mamluki la Wagner la Russia waliuawa katika vita vya miezi kadhaa vya kuudhibiti mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, mwanzilishi wake amesema.
Yevgeny Prigozhin alisema amewaandikisha wafungwa wapatao 50,000 kupigana na Wagner katika vita vya Russia nchini Ukraine...
Hata kwenye vita vya Afghanista, Urusi haikupoteza wanajeshi ewengi kiasi hiki....
The head of the Russian private army Wagner says his force lost more than 20,000 fighters in the drawn-out battle for Bakhmut, with about 20% of the 50,000 Russian convicts he recruited to fight in the 15-month...
Wanajeshi 3 wa Talibani wameuawa walipojaribu Kurusha ndege za black hawk zilizoachwa na Majeshi ya Marekani yalipoondoka nchini humo.
Mnamo mwezi Agosti 31 mwaka 2021 Majeshi ya Marekani yaliondoka nchini Afghanistan na kuacha vifaa vya kijeshi nyuma zikiwemo Helikopta ambazo ziliachwa zikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.