- kiufupi niseme tu kama kuna chama chenye mbinu za siasa hii nchi basi ni CCM peke yake.
CCM walimtumia Lowasa 2015 kufanya mission yao (nikiri kwamba hapa ndipo nlipo hama upinzani rasmi kwa sababu hazikua akili za chama kimoja bali kulikua na ukawa so its safe to say akili za upinzani zko...