wapinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Godbless Lema: Waziri Simbachawene, 'mortgage plan' kwa wafanyakazi wote wa Serikali ndiyo suluhu ya muda mrefu

    Ameandika hivi kupitia Twitter: Waziri Simbachawene, kuwapatia Polisi viwanja vya ujenzi wa nyumba, utekelezaji wake ni mgumu. Muhimu ni kuongeza masilahi bora kwa Polisi na Serikali ije na mortgage plan kwa wafanya kazi wote,ili mtu aamue anataka kuishi/kustaafu wapi. Mortgage plan ya muda...
  2. MR BINGO

    2021 - Oktoba 2025: Muda mwafaka wa wapinzani nchini Tanzania kujijenga ili kufanya mageuzi ya kisiasa

    Salaam wana jamvi, Twende kwenye mada tajwa moja kwa moja. Tukianza na utawala wa awamu ya tano wa John pombe magufuli ambako tulishuhudia mtikisiko mkubwa wa upinzani nchini Tanzania ambao uliosukumwa na matumizi mabaya ya demokrasia hayo yalithibitishwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020...
  3. nashicha

    Ole Sabaya asomewa Mashtaka Sita (6) kwa Uovu aliotenda Hai. Aenda Rumande hadi Juni 18

    Aliyekuwa mkuu DC wa Hai amesomea mashaka yake sita UHUJUMU UCHUMI UJAMBAZI KWA SILAHA KUTAKATISHA FEDHA NK AMEKWENDA RUMANDE MPAKA TAREHE 18/6/2021 ======= Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano wamefikishwa katika Mahakama ya...
  4. Bams

    Rais Samia akifanya haya, Wapinzani watakuwa na wakati mgumu

    Matatizo mengi ya Tanzania, kwa kiasi kikubwa yanasababishwa na uongozi mbaya unaolindwa na sheria mbaya na Katiba mbovu. Rais Samia, kwa dhamira yake, anaonekana ni mtu anayependa haki - hili amelitamka mara kadhaa. Rais Samia anapenda demokrasia ya vyama vingi - hili alilitamka hata kule...
  5. S

    Wapinzani waendelee kuhakikisha inapatikana Tume Mpya ya Uchaguzi kabla ya 2022 au 2023

    Waacheni CCM waseme usiku watalala huku upinzani hakuna kulala; tunafahamu Samia hagombei, hili halina utata anawaachia Watanganyika zigo lao. Timu zilizopo CCM ni nyingi na kila moja ina mtu wake agombee urais, mjue ndani ya CCM kuna mito kama iliyopo ndani ya bahari na mingine ni mikondo ya...
  6. JF Member

    Baada ya kifo cha Magufuli, Wapinzani walituaminisha chuki zitaisha kumbe bado?

    Kuna msemo unaosema, asifuye mvua imemnyea. Wakati wa Hayati Dkt. Magufuli, CHADEMA walikuwa na propaganda kali sana kwamba Magufuli ameshindwa kuleta umoja kwa taifa. Kwa vile Mara nyingi wanalalamika kwenye mitandao mambo yao yakaenda hadi nje ya nchi. Kuna wengine hadi wakaomba uhamisho kwa...
  7. S

    Katiba Mpya yaja, somo la awamu ya tano linatosha

    Katiba mpya itaundwa tu. Utawala wa awamu ya 5 ndiyo umeleta chachu na hamu ya uhitaji wa kuundwa kwa Katiba mpya. Kila kundi katika jamii linahitaji Katiba mpya. Wanaccm, Wapinzani, Wanaharakati, n.k. Wananchi wa makundi mengi katika jamii hawakufurahishwa na mwenendo wa mwendazake lakini...
  8. S

    Wapinzani msije mkaingia au kuingizwa chaka, CCM ni ile ile

    Hii ni mbiu ya mgambo kwa upande wa Upinzani, msilegeze kamba katika kuhakikisha madai ya tume huru na iliyobora inapatikana sambamba na Katiba mpya, hayo ya CCM ya kutumbuana kuhamishana, kusifiana kukandiana hayo ni yao na yawachwe kama yao. Leo mnasema au inasemwa ndani ya CCM kuna...
  9. Corticopontine

    Uchaguzi ungefanyika sasa, Samia Suluhu angepata 98% ya kura zote maana wapinzani wote wanamsifu

    HAPA KAZI TU IENDELEE. Leo nataka niwape fact moja Kuhusu Kujifia kwa Upinzani a natural death baada ya Mama Samia Kuchukua Nafasi ya Hayati JPM. Kama ungeitishwa uchaguzi Leo hii, Mama Samia angemshinda Lissu kwa Zaidi ya 98% na hapo angemtibulia kabisa Dili lake la kuwekwa Unyumba huko...
  10. Erythrocyte

    Video: Kiongozi Mshamba wa UVCCM Tarime atangaza kipigo kwa wapinzani, wala hajaguswa na Polisi

    Ushahidi huu hapa .
  11. Jackwillpower

    Vyama vya Upinzani vinamsakama Zitto kabwe kwa kushiriki uchaguzi mdogo Muhambwe na Buhigwe

    Chadema walisusia uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu Singida kwa madai ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya Wakaja kushiriki Uchaguzi ndogo wa Kinondoni Wakasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Sababu haukuwa na manufaa yoyote kwa mbowe na genge lake...wakaja kushiriki uchaguzi Mkuu ili kupata...
  12. M

    Zito Kabwe ni msaliti na adui wa Demokrasia Tanzania

    Ukiangalia muendelezo wa mateso ya Upinzani wa ukweli Tanzania hasa CHADEMA, Zitto na Chama chake hawajawahi kuguswa. Ni maneno tu lakini CCM haimgusi. Zitto Kabwe hana ushirikiano na wapinzani. Siku zote ni SNITCH. Wapinzani wanapoelewana au kuafikiana, yeye Kama Lipumba, anakuja na mchanga na...
  13. Baba jayaron

    Je, wapinzani kuleta Katiba mpya?

    Wasalamu, Hili swali najiuliza hivi huu utamu wa madaraka, na kujihisi upo mbinguni (Kinga), ukiamua unarithisha Watoto, vimada na wapambe wako, wengine hadi Waganga wao? Ukweli Kwa mama yetu sioni dalili maana CCM itamkaba kooni atajuta kuzaliwa. Je, Kweli Zitto Kabwe, Mbowe, Tundu Lissu &...
  14. J

    Katika hili la Rais Samia kuwaamini Wapinzani Freeman Mbowe ana mchango mkubwa, apongezwe

    Wote tunajua serikali ya Rais Samia ina waziri mmoja na manaibu waziri watano waliopitia kwenye mikono ya Mbowe kimalezi pale Chadema. Tunaye waziri Kitila Mkumbo na tunao manaibu waziri Mwita Waitara David Silinde, Gekui, Dr Mollel na Patrobas Katambi wote wakiwa wamelelewa na Mbowe. Pia...
  15. Idugunde

    Wapinzani hawasomeki, hawana msimamo vigeugeu wasio na msimamo

    Kabla ya kuingia madarakani Hayati Magufuli walikuwa wanataka kiongozi mkali atayepinga ufisadi na kupambana na wala rushwa. Atakayekemea wanaotumia vibaya madaraka na wazembe. Bahati mbaya Hayati Magufuli amefariki na sasa ameingia Rais Samia kuwa Rais wa JMT sasa wanashangilia na kufurahi...
  16. Idugunde

    Kwa sasa wapinzani hasa CHADEMA hawana hoja mujarabu kuisurubu CCM

    Mimi nawajua hawa jamaa vizuri wao wanayo namna ya kutafuta kiki za kisiasa kwa kutumia udhaifu na makosa ya CCM. CCM ikijisahau na kufanya makosa kwa kuruhusu ufisadi basi hapo ndipo hukomaa na kusimamisha misuri ya shingo. CCM isipotekeleza sera na ilani ya uchaguzi vizuri. Wao hushupaza...
  17. Idugunde

    Ni mshikamano wa ajabu, wapinzani wamepigwa na butwaa

    Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa. Alifopafariki JPM wao walikuwa wanajua kutatokea mgongano wa kugombea nafasi ya urais hasa wakijua kuwa CCM wasingekubali kuongozwa na mwanamama. Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na...
  18. S

    Wapinzani na Watanzania kwa ujumla, tudai kutoelewa hadharani kwa ripoti ya uchunguzi wa BOT

    Nafikiri wakati umefika kwa wapinzani, wanaharakati na Watanzania kwa ujumla tudaii kutolewa kwa ripoti ya uchunguzi pale BOT kama Raisi Samia alivyokuwa ameagiza. CHADEMA, ahadi ya kukaribishwa Ikulu isiwatoe kwenye reli wala kuwaziba midomo nyinyi kama wapinzani. ACT, na nyinyi kuwa sehemu...
  19. matunduizi

    Kuondoka kwa Hayati Magufuli kumewavua nguo wapinzani

    Nimetafakari nikakumbuka story ya jamaa waliokuwa wanamkimbiza mwizi ila hawamjui (hawana target). Kufika sehemu wakaanza kuulizana mwizi yuko wapi kila mtu hata mimi sijui. Kuondoka kwa JPM kumewavua nguo wapinzani. 1: Imethibitika huwa wanapinga watu na sio mfumo uliopo dhidi ya mfumo...
  20. matumbo

    Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

    Kila nikitazama mijadala kwenye mitandao ni kama wapinzani bado wapo kwenye mapambano na hayati Magufuli. Rais na mwenyekiti wa sasa wa CCM mama Samia ni kama hawana tatizo naye, anawakosha sana na wanamtumia kuwaumiza wafuasi wa Magufuli. Kwa wataalam wa siasa hii ina maana gani kwa siasa za...
Back
Top Bottom