wapinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    Mikutano ya CCM ruksa pamoja kuna Uviko-19. Wapinzani wanazuiwa

    Jeshi la Polisi limeshindwa kutoa maelezo ya kwanini linazuia mikutano ya ndani ya chama cha NCCR Mageuzi kwa sababu za kiusalama na Kuepusha maambukizi ya Covid-19 kwenye mkoa wa Dar es Salaam lakini limeruhusu mkutano wa CCM kwenye aneo lilelile.
  2. Idugunde

    Ukiona wapinzani wapo kimya tambua chama tawala kinafanya vyema

    Upinzani katika mfumo wa vyama vingi ni kioo kwa chama kinachotawala. Maana wapinzani huwa wanakosoa pale mtawala anapokosea. Tangu mama aanze vyema kwa kuupiga mwingi mpaka wapinzani wakaanza kumsifia kwa kila namna anavyoendesha nchi ni dalili tosha kuwa chama tawala kinafanya vyema. Kero...
  3. J

    Mikutano ya hadhara ya wapinzani inafanyika Zanzibar, wakati Tanganyika imezuiliwa. Je, Rais Samia ana double standard?

    ..haya hapa ni maandamano ..huu hapa ni mkutano wa hadhara.
  4. Erythrocyte

    Kwa hiyo kwa Mujibu wa IGP Sirro , Tishio la Usalama ni kwenye makongamano ya wapinzani pekee , kwenye mkusanyiko wa Yanga hakuna?

    Kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye kitengo cha propaganda cha jeshi la Polisi ili kiendane na hali ya sasa , hawa waliopo hawakiwezi ama wamepwaya mno , Huwezi kudanganya kwa kiwango cha chini kiasi hiki . Mmezuia Mikutano na Makongamano kwa sababu ya Hatari ya usalama kutokana na kadhia ya...
  5. Mr Dudumizi

    Tusimtafute mchawi, Upinzani wa Tanzania unakwamishwa na Wapinzani wenyewe

    Habari zenu ndugu zangu, Wana JF wenzangu, kuna watu wamekuwa wakijiuliza kwamba inakuaje nchi kama vile Malawi, Kenya, Zambia na kwingineko wapinzani walifanikiwa kushinda chaguzi mbalimbali na kuvitoa vyama tawala katika madaraka, huku kwa Tanzania hilo limeshindikana. Jibu ni kwamba wakati...
  6. VUTA-NKUVUTE

    Sio siri, bila wapinzani Bungeni ghadhabu za Spika 'hazinogi' kabisa. Filamu zetu zinakosa mvuto

    Wengi mnajua jinsi Spika Job Ndugai alivyokuwa 'akiwashughulikia' Wabunge wa Upinzani wakati ule wa Mwendazake. Alikuwa akitimiza agizo la 'kuwashughulikia' wapinzani ndani ya Bunge huku kazi ya kuwashughulikia nje ya Bunge ikifanywa kwa ustadi mkubwa na Mwendazake mwenyewe. Walengwa wakuu...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Wapinzani tafuteni watu wasomi wenye Bachelor, Masters na PhD kwa ajili ya kuchukua nchi 2025

    Wapinzani tafuteni watu wasomi wenye bachelor, masters na PhD kwaajili ya kuchukua nchi 2025. Tafuteni wachumi, wanasheria, wanasayansi, mainjinia, wahasibu, watu wasiasa, wanahistoria wenye bachelor, masters, PhD, waandikisheni, jazeni kwenye chama. Fanyeni hivyo, nendeni vyuoni andikisheni...
  8. Fundi Madirisha

    CHADEMA na wapinzani wengine, mkiendelea kucheza ngoma ya CCM na Polisi msahau kutawala

    Kinachoshangaza ni ninyi mnaoitwa vyama vya upinzani nchini kikiwamo chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA, mmeshidwa kabisa kuwa na non-stop mission ambayo ingeweza kusaidia kuwapa nguvu kuwaambia watanzania yanayoendelea juu ya Katiba Mpya nchini ni uonevu na ni kuzuia haki ya msingi ya kila...
  9. S

    Mdude Chadema ni uthibitisho kuwa kuwaweka ndani wapinzani, ni kuwakomaza na zaidi ni kuwaongezea "ari" ya mapambano

    Asubuhi ya leo, nilileta uzi hapa nikionya kuwa ukimfunga Mbowe, utafanya wapinzani waone hawana tena cha kupoteza kwa kufungwa au kuwekwa mahabusu. Nilionya kuwa hatua ya kuwaweka ndani inawafanya kuwa majasiri zaidi. Kabla jua halijazama, Mdude Chadema, aliekaa ndani kwa muda mrefu, jioni...
  10. shamimuodd

    Kenya Vs Tanzania: Wapinzani vs Mbadala kukuza uchumi

    GTs, Hivi wapinzani wetu wataacha lini kufanya mikutano isiyokuwa na tija? Juzi hapa Zitto Kabwe kaitisha kikao cha majungu majungu, yaani mchumi mzima anaongelea eti tulikosea kukabiliana na Corona utadhani yeye mwenyewe hajioni kuwa ni mfaidika wa njia sahihi na bora ya kukabiliana na korona...
  11. Idugunde

    Watanzania tunajua taifa letu halina mpasuko wa kisiasa, hakuna haja CCM kukaa meza moja na wapinzani wasio na uzalendo

    Wembe ni uleule, CCM ipo kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo wananchi. Habari kuwa kuna wanasiasa walibaguliwa na kutengwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli ni kuleta porojo ambazo hazina mashiko. Ni Mtanzania gani anataka umoja na wanasiasa ambao hawalitaki mema taifa lao kwa...
  12. Determinantor

    CCM waanza kukumbuka umuhimu wa Wapinzani

    Kada Maarufu wa CCM amesema laiti Wapinzani wangekuepo bungeni, yaani hata Wapinzani 10 tu, CCM wasingepitisha tozo za ajabu hivi. Ng'ombe haoni faida ya mkia wake hadi siku ukikatika. "Leo kungekuwa na wabunge wa upinzani pale bungeni hata 10 tu hizi tozo za kitapeli zisingekuwepo,hakuna...
  13. S

    Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana

    Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata...
  14. Mzalendo_Mwandamizi

    Naibu Waziri wa Masuala ya Siasa Wa Marekani, Victoria Nuland aja Tanzania, kukutana na Rais Samia

    Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana na Mama Samia Suluhu na pia kufanya maongezi na Wapinzani.
  15. Mystery

    Rais Samia, wanakudanganya kuwa wapinzani wanakudharau kwa kuwa ni mwanamke

    Kwa kuangalia siku 100 za kwanza za Rais Samia Suluhu Hassan zilivyokuwa zimeleta matumaini makubwa kwa watanzania, katika kuijenga demokrasia na kuheshimu haki za binadamu, kwa namna alivyopiga U turn, katika siku chache zilizopita, ndipo hapo wananchi wanajiuliza, kimetokea nini tena kwa Rais...
  16. M

    Tafakuri kwa wapinzani Tanzania

    Hali zenu wanajamvi, Mimi nashukuru nipo hai natarajia kuchanja wiki hii. Naomba wapinzanzi watafakari jambo moja tu: Anapopatikana kibaka mwanaume huuawa au hupewa kipondo cha hali ya juu. BUT anaposhikwa kibaka mwanamke hata sehemu kama kariakoo hali huwa tofauti sana. Hushikwashikwa na...
  17. Shujaa Mwendazake

    Tujenge Nchi Kwanza: TBC imeanza tena kutumika kueneza propaganda dhidi ya wapinzani na wanaharakati

    Kuna vipandevya video vinarushwa na TBC online hivi sasa ambavyo vimebeba ujumbe wa "Tujenge Nchi Kwanza" ikimaanisha mengine baadaye. Huu ujumbe unaunga mkono majibu ya Mh Samia kwa kundi la watanzania ambao wameanzisha vuguvugu la kudai katiba mpya. TBC inayotumia pesa za walipa kodi haohao...
  18. kavulata

    #COVID19 COVID-19 inaua, isitumike kisiasa dhidi ya wapinzani

    Tanzania sio kisiwa, kila tunachokifanya kwenye mapambano dhidi ya Covid 19 kinavuka mipaka na kuonekana duniani kote. Ni wazi kuwa sasa tumekubaliana kuwa maambukizi ya COVID-19 yapo hata Tanzania, na kuna wenzetu wameugua, wanaugua na waliokufa na wanaokufa kwa ugonjwa huu. Katika hali hiyo...
  19. Nyamsusa JB

    Ugaidi, Uhaini na Uhujumu uchumi ni kesi zitakazoshamiri sana kwa Wapinzani Tanzania

    Hizi ni kesi zisizokwepeka kwa Wapinzani Tanzania 1. Ugaidi 2. Uhujumu Uchumi 3. Uhaini Ukikoswakoswa na hizo basi utakutana na namba nne 4. Sio Raia wa Nchi. Safari bado ndefu.
  20. Countrywide

    Rais Samia shikilia hapohapo, usirudi nyuma. CHADEMA hawahitaji kubembelezwa

    Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako. Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge. Mama katika...
Back
Top Bottom