Wanabodi naomba mnisaidie kuelewa shida iko wapi, maana tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini, tumeshuhudia vyama tofautitofauti vya upinzani vikiibuka na kujipatia wafuasi wengi na hivyo na hivyo kuwa tishio kwa chama tawala.
Kwa kumbukumbu zangu ni kwamba ilianza nccr mageuzi...
Ndugu zangu wale wanye uchu na nia ya kuiondoa CCM madarakani ( Tuseme kuivua gamba CCM), kuna kamtindo kamezuka cha kuwahamisha wapinzani kwenye reli na kuwasababishia kupinduka.
Kama mmeona:-
a) Valangati la wabunge wa Chadema.
b) Tozo.
c) Sakata la wamachinga.
d) Kesi ya kubambikizia ya...
Katika historia ya hii nchi haijawai tokea rais na mwenyekiti wa CCM akapendwa kiasi hiki na wafuasi wa vyama vya upinzani.
Naweza kusema taifa limepata bahati kubwa kuwa na kiongozi mwenye ushawishi wa kipekee.
Ni Rais ambaye hata ikitokea amekosea lawama zake atabebeshwa Kikwete au Magufuli...
Angalia hawa vijana wa Bavicha hata majina sitaki kuwataja, muda mwingi wapo Twitter wanalumbana juu ya ishu za ajabu ajabu tu. Hawajui hoja namna kujenga hoja juu ya kuwakuna wananchi hakuna kabisa.
Tuna vijana na wanachama ambao wanadhania siasa ni ushabiki na kuropoka hovyo.
Wao ni kuishi...
Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukumiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri...
Serikali na chama tawala wamedhibiti watu kusema na kujadiliana kwenye TV na Radio Kwa manufaa ya afya ya akili ya Watanzania. Wakafungia magazeti na baadhi ya online tv. Wakatunga sheria Kali na kuajiri TCRA wapambane na wakosoaji wa serikali.
Kwa kuwa wanaozuiwa kusema ni wale wenye akili...
Chadema wana wivu na Zitto Kabwe kwa kuupiga mwingi mbele ya Rais Samia. Mama Samia alionekana kumuelewa zaidi Zitto kwa lunga na tone aliyotumia kuhusu Mbowe kuliko akina Lisu na Lema. Issue is not what you say but how you say it.
Rais Samia hahusiki na sakata la vyama vya siasa kuzuiwa...
Vita ya "wahuni" na Kiroboto bado inaendelea. Upande wa "wahuni" kwa sasa umevuta pumzi baada ya mshale uliorushwa na Bulembo.
Taarifa zinasema kwamba upande unasikilizia kama mshale wa Bulembo utajibiwa. Na kama ukijibiwa na Chakubanga basi utakuwa muda muafaka kuhoji kama Uzalendo unaruhusu...
Alitabiri Remy Ongala kuwa Ccm ilishakufa sasa yametimia.
Kuna wanaCcm waliokuwa upande wa hayati JPM wanaona sasa nchi imekamatwa mikononi mwa mafisadi na wezi.
Kuna wanaCcm kumbe walifurahia kifo cha hayati JPM na hii inaonekana alikuwa kikwazo kwao.
Ccm ya sasa imepasuka maana kuna...
Habarini hapa jukwaani
Katika mnyukano ambao unaendelea katika mitandao ya kijamii kati ya watu ambao wamewahi kushika nyadhifa kubwa katika Chama Changu cha Mapinduzi, ambapo ni ndugu Humphrey Polepole na Ndugu Nape Nnauye. Ni kili kwamba hakuna jambo ambalo linatokea kwa bahati mbaya katika...
Tumeshuhudia kila kitu kupanda bei, ndio kila kitu kasoro vinywaji tu. Tulizoea kelele na ukosoaji mkubwa enzi za JPM na muhanga mkubwa kabisa akiwa ni JK.
Sioni hayo yakiwa kama zamani hii ina maana gani?
Salaam.
Kila anayefuatilia masuala yahusuyo siasa atakubaliana nami kwamba katika mkoa wa Mtwara, jimbo la Tandahimba ndilo linaongoza kwa siasa za upinzani.
Katika uchaguzi mkuu uliopita CCM walilikomboa jimbo hili toka mikononi mwa CUF ambapo mbunge aliyeshinda uchaguzi mkuu wa 2015...
Na bado. Sisi CCM hatuna shida haya ya mafuta kupanda hayatuumizi. Unayajua ma VIEITIII? Unayajua? Au unayasikua tu? Ndo tunayoyatumia. Hata hayali kabisa mafuta. Yanatumia upepo tu. So mafuta kupanda bei haituhusu.
Sijuu bidhaa zimepanda bei, sijui maisha yamekuwa magumu. Tozo n.k hayo...
Tayari mpaka sasa kuna WanaCCM wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili
Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm...
Kumekuwa na kautamaduni ka viongozi na mashabiki wa upinzani kuwasifia viongozi wa CCM pindi wanpokuwa wamestaafu toka kwenye majukumu yao ya kiserikali/chama.
Utamaduni huu unawachanganya wananchi hasa wale wenye uwezo mzuri wa kutunza kumbukumbu, kwani mara nyingi unakuta huyu mstaafu wanae...
Nimejaribu kufanya tathimini fupi ya namna siasa za bara letu zinavyofanyika, inasikitisha kwamba msukumo mkubwa wa watu kuingia kwenye siasa ni njaa tu.
Nimejaribu kuangalia mataifa yaliyojaribu kubadili vyama, ukweli ni kwamba hakukuwa na jipya malalamiko ya wananchi yalibaki pale pale...
Serikali ya kijeshi ya Chad imetoa msamaha kwa karibu waasi 300 pamoja na wapinzani, ikiwa hatua kubwa kuelekea shinikizo kutoka kwa makundi ya upinzani yaliyoalikwa kuhudhuria kikao cha pamoja cha kujadili hatima ya kisiasa ya taifa hilo lenye matatizo.
Kwa mujibu wa shirika la habari la...
Hahahahahaa!! Inabidi nianze uzi kwa kicheko.
Tumepitia kipindi kigumu kama nchi. Licha ya kuwashauri kwa muda mrefu kwa kurudia rudia tukidhani wanatuelewa wakashupaza shingo.
Leo Rais Samia, Makamu wa Rais na makundi yake yote hawawezi kukwepa mdororo huu wa maji na umeme. Tumerudi mwaka...
Mapambano ya kisiasa hayajawahi kuwa rahisi mahali popote duniani na hii ni kutokana na ukweli kwamba inakupa madaraka makubwa sana kwa njia nyepesi tu yaani kushawishi watu wakuunge mkono.
Ni kutokana na ukweli huo ndio maana ni kazi ngumu sana kumtoa madarakani anayetawala hivi sasa, kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.