wapinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ujinga mliofanya Singida ndo chanzo cha kufungwa na Wapinzani wetu

    Mliki frustrate wenyewe mapema sana. Mara hamtaki kuingia vyumbani mara sijui nini. Sisi wengine tuliwaeleza nyie mkatulie mcheze mpira Simba wanafungika. Tukawaambia mkawakabe watu flani. Mmeenda kufanya mambo ya kujichosha akili mapema. Mnagoma kuingia vyumbani. Halafu mlivyowajinga mnacheza...
  2. Kuelekea 2025: Rais Samia kuvuna kura za vijana, wanawake, wapinzani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ZIPO kila dalili kwamba Dkt. Samia Suluhu Hassan, atagombea nafasi ya urais anayoishikilia sasa katika uchaguzi mkuu ujao – miaka mitatu kutoka sasa. Mbali na “kufokea” waliozusha kwamba hatagombea na yeye mwenyewe kueleza kwamba...
  3. T

    Siasa zile za JPM, wapinzani wengi ziliwapandisha hadhi ya kisiasa huku wakiwa weupe pee!

    Upinzani ili ung'ae, tusidanganyane! Unahitaji kashikashi ya watawala, pia inahitaji serikali iliyoshindwa kabisa na isiyohonga vjongozi wakuu wa wapinzani! Maana hao ndio wanaobeba matumaini ya wengi! Utawala unaotia kashikashi wapinzani, ukweli usiopingika, huufanya upinzani usikilizwe na...
  4. R

    Ukweli usiopingika: CHADEMA ndicho chama kinachozuia Upinzani kuingia Ikulu. Watanzania tujitathmini kabla ya 2025

    Habari JF, Kuna kitu hakiko sawa katika siasa za Tanzania. Kama ilivyo kwa viongozi na wanachama wakongwe wa vyama vya upinzani wengi wao walitoka CCM. Kwa kipindi hicho kuunda kwao vyama vya siasa ilikuwa ni kuhakikisha kuna mfumo wa vyama vingi na SIO KUCHUKUA NCHI, hivyo viongozi hao...
  5. P

    Rais Samia anaendelea kuupiga mwingi, wapinzani watakuja kukosa cha kusema kabisa 2025

    Ukiachilia mbali suala la katiba mpya ambalo pia Rais Samia ameahidi kuanzisha mchakato upya, Dkt. Samia Suluhu Hassani baada ya kukamilisha ujenzi wa majengo 80 ya huduma za dharura (EMD), na majengo 28 ya huduma za wagonjwa mahututi, sasa vifaa vimeanza kufungwa ili kuboresha huduma za afya...
  6. L

    Ipo siku Wapinzani watatamka hadharani kuwa Watamuunga mkono Rais Samia Uchaguzi ujao

    Ndugu Zangu Watanzania, Huo Ni Utabiri wangu kwa jicho la mbali kwa kuangalia Hali ya mambo Inavyoendelea hapa nchini,Kwa namna Rais Samia anavyokubalika,anavyopendwa na watanzania,alivyoiteka mioyo ya watanzania,uchapa kazi wake uliotukuka,Dhamira yake njema katika kulijenga Taifa letu,upendo...
  7. L

    Ipo siku wapinzani watakubali ukweli kuwa CCM haina mbadala wake

    Ndugu zangu Watanzania, Siku yaja na miaka yaja ambapo wapinzani watakubali kuwa CCM ndio chama pekee kinachopaswa kuungwa mkono na kupewa ushirikiano katika kuliongoza taifa letu, watakubali kuwa Sera ajenda Dira na muelekeo wa CCm ndio sahihi na unatosha kutuvusha Watanzania kuelekea nchi ya...
  8. CCM, Angelina Mabula na Stanslaus Mabula, hizo nyumba zilizouzwa na Jiji la Mwanza zinaenda kuwa ajenda ya kwanza ya wapinzani. Mtatikiswa!

    Rais Samia amefungulia mikutano ya hadhara, na katika majiji ambayo Chadema wanajiwinda kuyadhibiti ni Mwanza, Arusha, Mbeya na Dar es salaam. Wanatafuta ajenda nzito za kutikisa na kuwashika wananchi. Arusha walifanya tukio, Sasa hivi wote wananyea debe, angalau wanaarusha wanaelewa hatua...
  9. F

    Nitakuwepo hapa kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM kwa lengo la upotoshaji. Wapinzani jiandaeni maana nimejipanga vya kutosha

    Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara. Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani...
  10. T

    Mchambuzi: Wapinzani Tanzania wajivue gamba siasa wanazofanya haziakisi utashi wao kutatua matatizo yaliyopo

    Akizungumza jioni hii kupitia kipindi cha BBC kinachotathimini mwekekeo wa mambo katika mwaka tuanaouanza, mchambuzi huyo amesema kwa upande wa Tanzania wapinzani wanatakiwa wajifungie na kujivua gamba. Amesema vyama vya upinzani vinapaswa kujitazama upya namna vinavyofanya siasa na hali ya...
  11. Yanga anaweza kupoteza point, je wapinzani wao simba wanaweza kutokupeteza?

    Ligi ya bongo bingwa anaanza kuonekana mapema mno, watu wa mpira walishajua bingwa wa msimu huu ni nani. Kuiombea mabaya Yanga apoteze sio sababu je akipoteza simba anaweza kuendeleza ushindi msimu mzima? Jibu ni HAPANA. Yanga anaweza poteza point hata 6 walingane na simba lakini bado...
  12. Wataaalam wa siasa mnielimishe: Pamoja na wapinzani kufanyiwa maovu kwanini bado wanaendelea?

    Hizi siasa huenda hata bado sijazijua vizuri. Hawa wapinzani wanapigwa sana, wengine vilema, wengine wameponea kifo chupu chupu, wengine washauwawa, wengine wapo magerezani, wengine washateswa sana, hivi huwa hawaogopi wanapoona wenzao wanapitia hayo?
  13. N

    Rais Samia yuko tayari kufanya kazi pamoja na wapinzani

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freemen Mbowe katika mkutano wa CHADEMA alisema kuwa aliandika barua kumuomba Rais Samia Suluhu kufanya maridhiano ya kitaifa wakiamini ni njia sahihi ya kufanya kazi na kujenga nchi na Rais Samia alijibu barua hiyo ndani ya siku 3 alilidhia ombi hilo. Pamoja na kuwa na...
  14. Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

    Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja. Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo...
  15. Wapinzani wanafurahia Rais Samia akiharibu

    Kipindi cha Magufuli wapinzani waliweweseka sana kwasababu asillimia kubwa ya wananchi walikuwa wanamkubali, ukiachilia mbali hawa wananchi waliopo mitandaoni, walijua kabisa pale mziki ulkuwa mgumu. Lakini kwa sasa wanajua kabisa Mama ni kama vile ana salala fulani hivi katupiwa, asilimia...
  16. MIAKA 61 YA UHURU: Je, ni kweli wananchi hawaitaki CCM na wamewapuuza wapinzani?

    Heri ya kumbukumbu njema ya Uhuru wa Tanganyika na baadae Tanganyika iliungana na Zanzibar mnamo mwaka 1964 na kuzaliwa Tanzania,Bendera ya Tanganyika ilivyoanza kupepea mwaka 1961 tulishuhudia tunavyoanza kujitegemea,kila nikiusoma utenzi wa tujifunze lugha yetu,kitabu cha 7 najiona mwenye...
  17. Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" Ilianzishwa na Wapinzani

    Kwema Wakuu! Nilitaka kuwakumbusha tuu kuwa Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" ilianzishwa na Wapinzani wala sio CCM yenyewe. Tena mwanzoni Kauli hii haikuwa nzuri Kwa wana-ccm waliowengi hasa Wale ambao bado walikuwa hawaamini kuwa JPM ameshapumzika. Kauli ya Mama anaupiga mwingi Kwa wanasiasa...
  18. D

    Ukiona wapinzani wametulia kimya ujue mema ya nchi wanakula na watawala; Wakibinywa, tabu yao huifanya tabu yetu

    Siyo Tundu lissu wala Mbowe sasa wote wapo kimya hali shwaaari! Walituaminisha Serikali inafuja pesa kujenga miundombinu, walituaminisha bwawa LA nyerere siyo kipaumbele, walituaminisha utawala awamu ya tano hautoi huduma mhimu kwa wananchi! Sasa tangu utawala wa awamu ya Sita uwashike mkono...
  19. Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
  20. T

    Nguvu inayotumika kunyukana kwenye chaguzi za CCM iwaamshe wapinzani wafikirie upya namna ya kufanya siasa

    Inavyoonekana kupata uongozi ndani ya ccm ni jambo la kufa na kupona ndio maana uchaguzi wao una vitimbi na vituko vingi Kwa kiwango cha kufuatiliwa sana na wafuasi na wasiowafuasi. Kilichonitisha ni misuli inayotumika kushinda uchaguzi. Misuli hii inawajengea ccm uzoefu wa kushinda kwa njia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…