wapinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Victor Mlaki

    Profesa Kitila Mkumbo: Wapinzani wanarukia hatua juu ya suala la mkataba wa Bandari

    Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo: Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali...
  2. Lady Whistledown

    Zimbabwe: Wapinzani wakamatwa katika kampeni za Uchaguzi Mkuu

    Polisi inawashikilia Wanachama 40 wa Muungano wa Upinzani waliokuwa katika kampeni, Mjini Harare, baada ya kudai kuwa Mkazi mmoja aliripoti usumbufu kutoka kwa Wanachama hao waliokuwa wamefunga barabara kuruhusu misafara yao. Mnamo Mwezi Julai, 2023, Muungano wa Upinzani wa (CCC) uliitaka Tume...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Wapinzani msimwamini Dkt. Slaa

    Hi! Mara nyingi tunasema kuwa Watanzania ni wasahaulifu sana na ni watu wanaopenda kwenda sambamba na upepo. Kwa lugha nyepesi tunasema mtengenezee skendo au tukio Mtanzania ili umtoe kwenye reli. Huyu Dkt. Slaa alichotufanyia Watanganyika 2015 mmekisahau? Mmesahau nasaha zake za miaka...
  4. William Mshumbusi

    Wapinzani wajue hawapambani na Waarabu au Rais Samia bali Mwingereza. Hawatashinda kamwe

    Uingereza ilikuwa na uchumi mkubwa duniani kwa zaidi ya miaka 200+ kwa kuweza kudhibiti njia za majini na karibu bandari zote ulaya kuanzia Karne 15. Kifupi ilijengwa na uchumi wa bandari. Ukiigusa Dubai unaigusa Uingereza. Hata Mjerumani alipoachiwa Tanganyika hakuachiwa pwani yoyote. Pwani...
  5. JanguKamaJangu

    Wakati wa Penati, mchezaji akipewa Kadi Nyekundu, wapinzani nao wanatakiwa kupunguza mchezaji mmoja

    Mchezaji wa Timu A akioneshwa Kadi Nyekundu ya moja kwa moja wakati wa upigaji wa penati kwenye mechi ya kutafuta mshindi, utaratibu unatakiwa kufuatwa baada ya hapo ni mchezaji wa Timu B mmoja naye anatakiwa kutoka. Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) linaweka wazi kuwa Mchezaji wa Timu B...
  6. Li ngunda ngali

    Human Rights Watch: Tanzania inakandamiza Wakosoaji wa Mkataba wa Ubinafsishaji Bandari

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema Mamlaka za Tanzania zimewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania Mkataba huo utaruhusu...
  7. JanguKamaJangu

    Senegal yazuia matumizi ya TikTok kwa lengo la kuwazuia wapinzani wa kisiasa

    Mamlaka ya Senegal imechukua uamuzi huo ikiwa ni katika mwendelezo wa kupunguza nguvu ya wapinzani, siku chache tangu kumweka kizuizini kiongozi wa upinzani. Mgogoro wa kuwania madaraka kati ya kiongozi wa Chama cha Pastef, Ousmane Sonko na Rais Macky Sall umesababisha maandamano ya vurugu na...
  8. Z

    Shida ya Mwafrika ni kwamba kwenye vikao vyetu tunajadili akili za wapinzani wetu na siyo kujadili hoja

    Umaskini wa mwafrika uko kwenye kushindwa kutumia siasa katika kuamua mambo yetu.si kila kitu utatumia siasa.kwa mfano ukitumia siasa hovyo kwa mambo ya afya ujue utaua wengi. Kosa letu zinpokuja hoja, tunaacha kujadili hoja badala yake tunajadili akili za wapinzani wetu. Kwamba yule mpinzani...
  9. kitonsa

    Polisi yapiga marufuku maandamano ya UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike Julai 18, 2023

    Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa. Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii. My take, Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba...
  10. THE BIG SHOW

    Hayati Magufuli aliona bora awavalie miwani ya mbao afanye kazi, wapinzani wakamuita ni dikteta, Rais Samia piga kazi tusizidi kuchelewa

    Friends and Enemies, JPM Marehem, alikuwa ana Msemo wake pendwa ''Turichereweshwa Sana'' na hawa wanaojiita wanademokrasia na watetezi wa Haki za binadamu,nakumbuka pia katika suala la mradi wa bwawa la Nyerere alizungumza pia kuwananga wale waliokawa wanampinga katika mradi ule Kwa hoja ya...
  11. olimpio

    Wapinzani waanza kucheza michezo ya kutekana

    Ili kutafuta huruma kwenye jamii , Wapinzani wameanza kutafutiana ajali za kiafya na kisiasa ili wasingizie Serikali. Alianza Dkt Nshala kusema anatafutwa ili auawe eti kwa sababu anapinga DP World, Na sasa Mbowe anatangaza taarifa kwa watu wake wa karibu kuwa amelishwa sumu akiwa kwenye kikao...
  12. kavulata

    Wapinzani pelekeni hoja nzito kwa wananchi, sio blaa blaa za Bandari

    Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo. Mpaka leo watanzania Wana shida zifuatazo:. 1. Chakula: hadi Leo watu wetu wengi hawana chakula Cha kuwatosha kula Milo 3 kwa siku...
  13. S

    Hivi ile peremende ya maridhiano na upatikanaji wa katiba mpya bado ipo vinywani mwa wapinzani ama imeyuyuka??

    Huyu rais Samia anapaswa kuangaliwa kwa jicho la tatu. Anajua kucheza na akili za watanzania kweli kweli. Kabla ya kumleta mwarabu alianza kwa kuwaweka sawa wabunge (kama alivyotujuza mbunge wa CDM Aida Kenan). Aliwapeleka Dubai kwa ziara ya "mafunzo". Wakala bata na kupewa cha mfukoni. Suala...
  14. Wakili wa shetani

    CHADEMA ni wapinzani uchwara sana, mpaka leo wameshindwa kuwateka wakulima

    CDM ni chama chenye uuchwara mwingi sana, na wala siyo chama cha maana. Lakini kwenye uuchwara huo nashangaa wameshindwaje kuwateka wakulima ukiaangalia jinsi mkulima wa nchi hii anavyoteseka. Asilimia 70 ya watz wanategmea kulima, lakini sera na harakati za CDM zinawagusa kidogo sana. Watu...
  15. Father of All

    Kama wapinzani watasimama kidete, wanaweza kuchukua nchi 2025

    Kwa wanaojua namna CCM ilivyofilisika kulhali na ilivyoshinda kwa mbinde 2015 kwa kutumia sifa nzuri za John Pombe Magufuli kama mchapakazi wa kupigiwa mfano, itakuwaje mwakani tena baada ya kuuza bandari yetu? Je, CCM baada ya kuanza kubomoa mema ya Magufuli watatoboa kweli? Kwa uongozi huu...
  16. D

    Kwa tabiri hizi, CCM tukiendelea kumchekea Rais Samia soon tutageuka kuwa wapinzani!

    Shaloom wana wema! Nianze kwa nukuu hii ya Jakaya Kikwete, "Samia najua wewe ni zao la upinzani kwa hiyo haishangazi unavyowatendea wapinzani". Jakaya anakumbushia historia ya Samia kuwa anayo damu ya upinzani. Kwa kuwa ni Mzanzibari basi kama anayo hisia za upinzani basi tujue ni muumini wa...
  17. UNDENIABLE

    Faida za wapinzani nchini japo hawajashika madaraka ni kama hizi....

    Wamesaidia kujenga awareness kwa wananchi kuhusu masuala yanayoendelea kwenye nchi
  18. Pascal Mayalla

    Wosia wa Le Mutuz: CCM/Serikali Imejisahau Haisikilizi, Ikosolewe. Wabunge Wasisifu Viongozi kwa Kutimiza Wajibu Wao. Upinzani Sio Uadui, JF Keep Up!

    NIPASHE YA JANA 04/06/2023 Kama nilivyoahidi wiki iliyopita Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi kuwa wiki hii, nitawaandikia kile alichokisema mtoto wa Mzee Malecela, hayati William Malecela...
  19. Pascal Mayalla

    Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo. Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, likifuatiwa na hoja, kisha jibu utalitoa wewe mwenyewe. Swali la mada hii ni Je Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM...
  20. Ngongo

    Kiongozi wa ACT badala ya kukikuza chama anapamba na wapinzani

    Brother akajua mkutano utakuwa Jumamosi si ndiyo akanunua Mechi yote uwanja mzima akalipia KiingilioBrother akajua mkutano Jumatatu si ndiyo akarudisha pesa ya Chopper yote na fidia Juu watugomee kufanya kazi. Sasa Mbowe kachukua Chopper kutoka UfaransaNasikia BOTHER KAZIMIA
Back
Top Bottom