Jana niliandika Uzi kumhusu rayvanny, kuanzia support aliyopata Kwa Diamond , behind the scenes ya hyo backup , na nikaunganisha pia Kwa harmonize jinsi ambavyo wote Kwa pamoja mond aliwabeba na kuwatambulisha vyema ...!!
Harmonize akaona isiwe tabu ikabd ajikate, njia aliyopitia sio rahsi...