Hiki ndio kinawasumbua kumbe na ndio kimesababisha Putin aamue tu bora jeshi lake liishe lote tu.
Hapa kiaina kuna kaukweli maana Urusi imepoteza hadhi yote mpaka hapo, na ikishindwa kabisa na kujiondokea Ukraine, basi haitokua Urusi tena, kwanza kabisa wamepoteza wateja wakubwa wa silaha...
Hii video hapa chini inaonyesha namna Warusi kwenye mji wao mkuu wanakipata freshi, Zelensky amewaambia mpaka hapo walipofika hamna jinsi ila kuhakikisha Warusi pia na wao wanapokea, itabidi waache kukaa kizembe, waangaze macho angani muda wowote.
Ukraine kainchi kadogo lakini kamefanya kitu...
Yaani mpaka unamfikia kumuua kamanda utakua umefagia wanajeshi kama senene...jameni Urusi nani atawaokoa...
Enzi za kunyang'anyana ardhi ziliisha, hatupo kwenye zama za kale ambapo mvamizi alikua anavamia na kujimegea, leo hii ramani zilishachorwa na kila mtu anaijua nchi yake na mipaka yake...
Bakhmut inandelea kuwa kichinjio cha Warusi, wamefia sana pale na wanasogeshwa nyuma, hivi kwenye vitabu vyao vya historia, itaandikwa walifia nini hapo Bakhmut maana hivi karibuni wataondolewa kabisa, wamekufa zaidi ya 100,000
After the successful offensive actions, the Armed Forces of Ukraine...
Aliamua kufunguka ukweli ambao Urusi imekua ikificha, anasikitishwa na namna wanapoteza wanajeshi na pia ukosefu wa silaha muhimu na mipango ya hovyo ya kijeshi......
====================
Moscow’s military leadership has reportedly dismissed Major-General Ivan Popov, commander-in-chief of...
Kulikoni wale wafuasi kindakindaki wa yule wakimwita mwamba Putin tokea pande za Buza kutokomea kusikojulikana?
Au tuseme hawajauona umuhimu wa kujaza hilo ombwe lililoachwa na wale ndugu zao wa Wagner?
Si waswahili walisema ukipenda boga upende na ua lake?
Wako wapi kina Yericko Nyerere na...
Warusi walijitokeza wengi kulaki Wagner na jitihada zao kwenye uasi, ni dhahiri wameuchoka utawala wa Putin ila wanashindwa pakuanzia.
Putin alishauriwa vizuri akaacha mikwara na kutafuta namna ya kuyajenga na Wagner......
Rais wa Russia anahutubia Taifa muda ni kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner.
Pia soma: SMO yageukia ndani ya Urusi. Wagner group wazidisha taharuki ya uasi
Taarifa zinaonyesha Warusi wanauawa takriban mia tisa kwa siku...
==========
Wagner chief admits Russia losing badly against Ukraine’s counter-offensive
Wagner Group financier and internally recognised war criminal Yevgeny Prigozhin issued yet another rebuke of the Armed Forces of Russia...
Hawa jamaa hadi wanatia aibu..
https://apnews.com/article/ukraine-russia-tank-leopard-blew-up-tractor-2824d17105d3cfb875a5306acd2c9089
A grainy black-and-white gunsight video Russia released this week to bolster a claim its military blew up some of Ukraine’s most fearsome tanks actually...
Muda umefika wa vijana wa Ukraine kuchukua kilicho chao, walichoachiwa na mababu zao, mito yao, milima yao, mashamba yao, ni mwendo wa mbele kwa mbele, nitawahabarisha humu hadi basi furaha hadi nahisi kuumwa, nakumbuka ilikua raha hivi wakati ule msafara wa kwenda Kyiv ulipigwa na wabeba...
Wanajeshi wa Urusi wameanza kukamatwa mateka na waasi, supapawa hali tete.
========
Fighters opposed to the government in Moscow say they have have captured two Russian soldiers in Belgorod, near the border with Ukraine.
Belgorod's top official said he had agreed to meet the men's captors if...
Dah! Supapawa alifika huku lini, raia wake wanakimbia makwao na kuwa wakimbizi.....tena kwenye ardhi ya Urusi.
In the latest example of the war increasingly spilling into Russia, the Bryansk region came under fire overnight, according to a Russian official.
Shells hit two villages close to the...
Haijatokea siku nyingine supapawa anavamiwa ndani hadi raina wanakimbia makwao na kuwa wakimbizi.
=======
Authorities in Russia's Belgorod region said a "counter-terrorism operation" was ongoing after a sabotage group from Ukraine crossed the border. DW has the latest.
The governor of...
Warusi wanaendelea kupokea kichapo huku wakitoroka......
Jana yote JF haikukalika pro-Russia waliposheherekea tamko la yule mzee kicha kiongozi wa Wagner...
Ukraine has pushed back against Russian forces in the city of Bakhmut, retaking a number of buildings, a Ukrainian armed forces spokesman...
Warusi walipoteza wanajeshi wengi sana, maelfu yao walikufa wakati wananyakua maeneo ya kamji ka Bakhmut, sasa yameanza kuwatokea puani.
==================================
Ukraine said on Friday that its forces had made significant advances around the embattled city of Bakhmut in the eastern...
Aikosoa serikali kutishia tishia matumizi ya nyuklia kwenye kila shambulizi wanalopokea la drones, asema wamekua kama vinyago "clowns"....
Hehehe huyu jamaa akiendelea hivi Putin atamla, japo hawezi maana Putin anatumia watu wake kama mizoga kule Ukraine.
=====================
"We look like...
Hapa wanasema walifaulu kuzuia mashambulizi ya drones kumi zikageuza japo wameshusha mbili.
==============
The Russian-installed governor of Sevastopol on the Crimean Peninsula, Mikhail Razvozhayev, said Sunday that a series of Ukrainian drone strikes had been repelled overnight...
Kila mwaka, Mei 9 Warusi husheherekea ushindi wao kwenye vita vikuu vya pili vya dunia, huwa na mbwembwe kama zote za kutunisha misuli, mwaka jana kwenye hotuba ya sikukuu, Putin alibwatuka mikwara kama yote na kuahidi ushindi.
Lakini hali imekua ngumu, ameshindwa hata kuteka kamji ka hovyo tu...
Email/barua pepe inatumwa na moja kwa moja unatakiwa ujiunge jeshini, na hakuna kutoroka nchi, baada ya kuishiwa wanajeshi, Putin ameamua kutafuta miili zaidi ya vijana kuipeleka ikazikwe Ukraine. Operesheni mwaka wa pili, pale Bakhmut pameshindikana balaa licha "mizoga" ya Warusi kujazana pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.