WATU wasiojulikana wanadaiwa kuiba transfoma katika Kijiji cha Mafinga, Kata ya Kipengere, Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, tukio lililosababisha kukatika kwa huduma ya umeme katika Kitongoji cha Makela.
Tukio hilo linadaiwa kutokea jana, majira ya saa tisa usiku, baada ya umeme kukatika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.