Kuanzia leo siisikilizi tena Wasafi FM na nitamwona Mpuuzi wa mwisho mwana Simba SC yoyote akiisikiliza kwani hiyo ni Redio ya wana Yanga SC
Nawaombeni wana Simba SC wote kuanzia leo anzeni tu Kuisikiliza EFM Radio kwani ndiyo Redio yetu na ina Watangazaji na Wachambuzi Wasomi na wana Akili...
"Nchi nyingi Siku hizi tena zilizoendelea kama ninayosafiri sana ya Netherlands na nyinginezo zinaruhusu Uvutaji wa Bangi kwa Raia wake wanapotaka sioni sababu ya Tanzania kuzuia wakati Bangi nayo ni Burudani na ina Starehe yake" amesema Mtangazaji wa Wasafi FM Zembwela (Hillary Daud) akiwa...
Baada ya Mmiliki wa EFM Radio Majizo Kufanya Kufuru ya Kumyakua Mtangazaji Masanja Mkandamizaji aliyekuwa na Kipindi maarufu cha kila Jumapili Wasafi FM nae Mmiliki wa Wasafi FM Diamond Platnumz kaamua kujibu Mapigo na Kuwanyakuwa kwa Bei mbaya Watangazaji mahiri Wazuri Maulid Kitenge wa Kipindi...
Kwema wakurungwa? Weekend ndo hii mambo yawe mengi kidogo.
Nizame kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Nataka niwaulize wasafi FM huu utaratibu wa kucheza matangazo katikati ya mazungumzo mmeutoa wapi? Yaani unakuta mtangazaji anaongea au labda mgeni kaletwa kwenye kipindi kwa...
UVCCM kama kuna Kikundi ambacho Kitawachafua na Kimewachafua ni hiki cha Ulinzi wenu Kiitwacho Green Guards.
Nimesoma leo katika Moja ya Gazeti kuwa Watu wa UVCCM kupitia hiki Kikosi chenu kilichojaa Wapumbavu Watupu kiitwacho Green Guards kilikuwa kimepanga Kumteka na Kumdhuru Mtangazaji wa...
Naitwa shedrack hussein salim natafuta gari ya mkataba nina uzoefu wa miaka6 kufanya kazi na bolt na Uber kama una gari mpya nitafute tutaongea kama amboyo imetumika pia tutaongea kama itafaa kufanya kazi mawasiliano yangu 0752782204 na 0787404979
"Kama kweli Watanzania wakijielewa na kutuliza Akili zao na kwa hali ninayoiona sasa Mitaani kutokana na Hasira za Tozo Lukuki huku Maisha yao yakizidi kuwa magumu kuna Uwezekano 90% ya Wabunge hatutokuwa nao tena Bungeni mwaka 2025" amesema Mtangazaji wa Wasafi FM Hillary Daud a.k.a Zembwela...
Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums, Maxence Melo yupo live wa Wasafi FM kwenye kipindi Cha Mgahawa akihojiwa mambo mbalimbali lakini pia interview hii inarushwa live Youtube kwenye channel ya Wasafi media
===
Updates.
Melo: Nchi nyingi zinatamani kuwa na JamiiForums na tunaenda kufungua...
Serikali yenyewe ipo kimya tuu wa naona yanayoendelea ni Sawa tu, huku wananchi wanateseka.
Ukifika hospital za Serikali hakuna madawa, mfano hospital ya Wilaya ya Mbulu haina hata nyumba ya kihifadi maiti, wananchi wamelala Mika mpaka wamechoka.
Mafuta yamepanda tunaambiwa ni vita ya...
Hii Jinsi gani inaonesha watangazaji wetu wanna upeo mdogo.
Katika kipindi cha Mashamsham ya Pwani cha Wasafi FM, Didas akiwa Arusha alipigiwa simu na mtangazaji mwenzake na kumuuliza mlima Kilimanjaro unapatikana mkoa gani, akajibu Moshi.
Hapa Kuna tatizo kubwa kwa watangazaji wetu katika...
Nchi ngumu sana hii, Mheshimiwa Rais Mama Samia anasema hatatoa kwanza ajira kwanza ili awapandishe madaraja walioko kazini,duh ukijiuliza yupi mwenye uhitaji kati ya ambaye Hana ajira na ambaye ana ajira?. Leo hii vijana wapo mitaani wakiambiwa wajiajiri wenyewe lakini ukirudi nyuma...
Kwenye hili sakata la Mtibwa Sugar na madai yao juu ya Msheri kwa Yanga...
Sakata lilianza jana jioni kwenye sports Court PAUL MKAI akiwa na GEORGE AMBANGILE(Mchambuzi Bora kwa sasa)...ikiwa tumesikiliza malalamiko ya THOBIAS KIFARU(Msemaji wa MTIBWA) kuwa bado wanawadai YANGA pesa za uhamisho...
Na kama ni Yeye je, kabla ya ile Segment yao ya Magazeti Kuanza pale Wasafi FM kila Asubuhi huwa Kwanza anavuta Bange au huwa anakunywa labda Gongo kidogo?
Simzungumzii Mtangazaji Mwenzake wa Usomaji Magazeti Hillary Daud ( Zembwela ) kwakuwa tangia alipokuwa Comedian na Marehemu Max nilijua...
Achana na youtube, ni app gani ya radio naweza nikapata matangazo ya radio ya Wasafi Fm? Maan sisi wa huku mikoani tunateseka sana kumsikiliza George Ambangile
Nimekua nafuatilia Wasafi Tv kunakuwepo na scratching kwenye picha kitu ambacho sio kizur kwa watazamaji.
Cha ajabu sioni kama jambo linalochukuliwa kwa uzito na Wasafi media. Mpaka najiuliza lile ni tatizo la kiufundi au swagga tuu?
Huku akiwa kaomba Interview na Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Arena ili aizungumzie Yanga SC yake Haji Manara umejikuta unatumia muda mwingi Kuiongelea Simba SC isiyomhusu badala ya Yanga SC yake.
Wakati akiendelea Kubwabwaja kutokana na Uwendawazimu unaomsumbua huku akiwa hana...
Zimbwela bwana.
Amenifanya nimeacha kusikiliza Redio ya Wasafi asubuhi.
Huyu jamaa anafanya comedy hata kwenye serious issues, anatengeneza kelele masikioni na kupoteza muda wa wasikilizaji wake akidhani kuwa wasikilizaji wako tayari kusikiliza kila kitu anachosema na kufanya kwenye studio...
Kuna siku nilisikiliza Wasafi FM kuna jamaa alihojiwa nasema anaunga mfupa uliovunjika bila kupasua tena akasema hata Mapinduzi Balama angeenda kwake angemtibu within a month.
Sasa kuna huyu kijana aliyetelekezwa na timu ya Polisi huu si ndiyo wakati wa kumtibu? Hebu mchukue kama ni pesa ya...
Na Andrew Chale(MNGONI ORG)
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ambaye kwa sasa amekuwa akizidi idadi kubwa ya mashabiki amekuwa ndo msanii anayezungumziwa kila kukicha kufuatia kupost vitu vya kifahari.
Msanii Diamond amekuwa akipost magari na majumba pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.