wasaidizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Mbeya: Waandikishaji wasaidizi wala kiapo kabla ya kuanza mafunzo ya jinsi ya kuandikisha wananchi kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

    Wakuu, Waandishi Wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki wa Kata 33 za Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya wakila kiapo kabla ya kuanza mafunzo ya siku mbili leo tarehe 23 Disemba, 2024. Mafunzo hayo ni sehemu ya maandalizi ya zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura...
  2. Pdidy

    Maaskofu wakuu wasaidizi jifunzeni kuzika na watu wa kawaida msisubiri matajiri hata wa kawaida anawasubiria

    Ushauri tu Kwenu Maaskofu wakuu Wapendwa wasaidizi wa maaskofu Anzeni vikao vya kuambiana Kuzikana sio lazima wawe wah ama wafanyabiashara ama wanaotoa sana kanisanii Mnaposikia misiba ya waumini jifunzeni kuhudhuriq msisubiri kusikia tajwa hapo juu ndio tunakuja kuwaonq Flan Kuna baadhi ya...
  3. R

    Zamani nilidhani wasaidizi wa Rais ni most senior officials hadi pale nilipoona wanateuliwa kuwa wakurugenzi na wakuu wa Wilaya

    Hapo zama za kale niliamini kwamba unapoteuliwa kuwa msaidizi wa Mh. Rais basi wewe umepanda cheo na ni kiongozi mkubwa sana kwenye mfumo wa utumishi wa umma. Mabadiliko yaliyowaondoa Ikulu akina Zuhura na Magoti sambamba na wengine wengi yamenifanya nibadili fikra kwenye hizi nafasi za umma...
  4. mdukuzi

    Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau

    Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau. Kwa mara ya kwanza nilishuhudia barabara za jiji la Dar zikipigwa deki. Siku Obama anatua jijini ilikuwa kama siku ya kiyama, mji ulisimama, nakumbuka tulikuwa tunaenda kulipa mahari ya rafiki yetu maeneo ya Msasani, tulitumia masaa kama...
  5. R

    Rais Samia kama uko serious kuja kinachoendelea Tanzania njoo JF utapata ukweli halisi, wasaidizi wako hawatakwambia ukweli

    Wasaidizi wako ni machawa, watakwambia lile ambalo wanaona utalipenda kulisikia na kulinda interest zao! . Ukweli uko hpa JF! Kuna siku ulisema huwa unapitia hapa, tenga muda kidogo upitie au ikikupendeza fungua akaunti ambayo haitaruhusu reply kutoka kwa contributors
  6. Nyamwi255

    Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

    Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili. Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa! Anaona anaonewa!! Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
  7. Kabende Msakila

    Teua tengua - nawalaumu wasaidizi wa Rais

    Dhamira ya Rais kwa vijana wake anaowateua ni nzuri sana - kwamba wamsaidie kazi na majukumu yao ktk maeneo yao. Tatizo la kutenguliwa kwa vijana wengi kumetokana na sababu kuu moja "huteuliwa kwa mchongo". Wasaidizi wa Rais ktk idara hiyo hawafanyi vetting yakutosha. Huenda huangalia zaidi...
  8. Lord denning

    Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

    Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi. How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya? Pia, soma=> Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa...
  9. R

    Kwanini Serikali isipige marufuku viongozi wanaokaa na wasaidizi wao ofisini hadi usiku kuepusha vitendo vya ngono vinavyotishia ndoa za watumishi?

    Kama ofisini kwako kuna kiongozi anaanza kazi muda ambao ninyi mnatoka ofisini lazima atakuwa na sifa zifuatazo 1. Ni mzizi na hivyo usubiri watumishi watoke ndipo afanye uzinzi aidha na wasaidizi wake au sometimes hata wanawake au wanaume kutoka nje ya ofisi. Huwezi kuwa bosi unakaa ofisini na...
  10. Ncha Kali

    Hebu 'singo mama' saidieni wake zetu kupata wasaidizi wa kazi za nyumbani.

    Ni kwamba wasioolewa tu ndo wana muda wa kutosha kujipatia wasaidizi wa kazi za ndani wenye hadhi? Yaani unakuta wanaendana, wengine hadi wanavaliana nguo. Msaidizi mrembo, msafi na mchangamfu kiasi kwamba hata ukifika yuko mwenyewe unakuwa na amani kwa bashasha. Hizi sampuli wanazojipatia...
  11. Annie X6

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Mkenda na wasaidizi wako

    Mimi si mtumishi wala kufanyakazi yoyote katika sekta ya elimu. Mimi ni mdau na mzazi. Mh waziri. Kila mtu atasema anavyotaka kwa kuwa nchi yetu ina uhuru wa kujielezea ili mradi hakuna sheria inayokiukwa. Mh. Katika sekta hii ya elimu siasa inatumika na haiepukiki. Lakini ni lazima tujiminye...
  12. Pang Fung Mi

    DR. Ayoub Ryoba bado anaendelea kudeka TBC au kapatiwa wasaidizi wenye uwezo na akili kumzidi?

    Mwanakususa mwanakudeka ameanza kubwata na kusikika, yumkini kwa sasa aneoata watu wazito na welezi kwenye tasnia kumzidi kiasi kwamba ameona ageukie uanaharakati dhidi ya mitandao madhubuti kama jamiiforums. Ukipasua pipa sisi tunawasha kiberiti. Moto ni moto na kiberiti ni kiberiti, na pipa...
  13. Kingsharon92

    Enyi madereva wa masafa marefu acheni roho mbaya dhidi ya wasaidizi wenu matingo

    Natumai wote ni wazima wazee kwa vijana poleni na mvua za masika zinazoharibu miundombinu yetu. Moja kwa moja nianze kwa kusema kama dereva wa masafa marefu niliyetundika daruga 2010. Uliza Congo uliza Malawi Zambia Uganda kenya Burundi rwanda hapo nikiwa na chuma cha msweden scania 113 pulling...
  14. B

    Wasaidizi wa Rais Samia: Mkutano wa BRICS nyie Mnamwandalia Rais Hotuba ya North-South Geopolitics

    Asalam. Nimefuatilia hotuba ya Rais wetu Mpendwa. Nikaona maudhui Mengi ni ya Mkutano Mwingine, sio huu. Hotuba imejaa masuala ya North-South badala ya BRICS. Iko hivi, Kwenye Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa kuna miungano mingi ya namna nyingi (Intergrations). North_South ni mojawapo ya...
  15. Crocodiletooth

    Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

    Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu. Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe...
  16. The Sheriff

    Ni Muhimu Kuhamasisha Ulinzi na Heshima kwa Wasaidizi wa Kazi za Ndani

    Wafanyakazi wa kazi za ndani wanatekeleza majukumu muhimu katika familia wanazofanyia kazi. Kazi zao za usafi, upishi, kutunza watoto, na mambo mengine ya kila siku ya nyumbani zinawawezesha waajiri kushughulikia majukumu yao ya kila siku na kuwa na muda wa kufanya kazi nyingine za kitaaluma au...
  17. N

    Wanawake wengi maofisini wakitembea na bosi wanajisahau kuhisi ni mabosi wasaidizi

    Habari za mida wakuu, Pasina kupoteza muda, hii ni changamoto kubwa wadada wengi wasiojielewa wakishavuliwa nguo na maboss wao huwa wanajisahau sana inafikia hatua wanajihisi ni maboss wasaidizi dharau inapitiliza ofisini. Utamu unazidi pale anapokuja mdada mpya akapitiwa na yeye na boss...
  18. Zanzibar-ASP

    Rais Samia hababaishwi wala kupotoshwa na wasaidizi wake, bali anajua anachokifanya kwa 100%

    Kumekuwa na dhana ya uongo na upotoshwaji mkubwa dhidi ya utendaji wa rais wetu Mama Samia Suluhu. Kumekuwa na maneno ya mara kwa mara, tena yakurudiwa rudiwa ya kusema wasaidizi wa karibu wa mheshimiwa Rais Samia wanampotosha kwenye mipango na maamuzi ya serikali. Hii dhana sio tu inamkosea...
  19. Kasanzu The Great

    Rais Samia anachapa kazi ila hazitangazwi ipasavyo. Wasaidizi wa Rais fanyeni kazi ipasavyo

    Pesa ambayo Mama Samia meipeleka kwa wananchi tangu aingie madarakani ni pesa nyingi Sana. Amejenga madarasa, vituo vya afya, ameanzisha utaratibu Wa kupeleka mil 500 kila jimbo kwa ajili ya Maendeleo ya barabara, ameinua uchumi wetu, amerejesha siasa za ushindani na demokrasia, maslahi ya...
  20. C

    Washauri wa Rais Samia watenguliwe

    Wasaidizi wa Rais Samia wameshindwa kumshauri katika utekelezaji wa majukumu yake. Katika Masuala nyeti ya Uchumi na Sheria. 1. Dkt. Blandina Kilama, Msaidizi wa Rais Uchumi. 2. Nehemia Ernest Mandia Msaidizi wa Rais Sheria. Hawa wameshindwa kazi.
Back
Top Bottom