Hakuna binadamu aliye mkamilifu. Rais SSH alifanya makosa kwa kutoa kauli zisizo "sahihi" ktk interview yake na Salum Kikeke wa BBC.
Hilo siyo jambo geni kumtokea kiongozi yeyote yule. Kinachofanyika ktk mazingira kama hayo ni kiongozi mwenyewe, au wasaidizi wake, kujitokeza kuomba RADHI na...
Mama Samia unaingizwa chaka na wasaidizi wako, mwaka 2025 CCM itakuwa na kazi ngumu ya kuwashawishi wapiga kura. Wakina Mwigulu ni Wapambe wasaka tonge wa 2025.
Kama kichwa cha habari kinavyosema katika kila serikali inapoingia madarakani inakuwa na watu wake yaani hao ndio chama chamani hakuna...
Wasaidizi wa kazi ( almaarufu wafanya kazi za ndani ) hawa ni watu muhimu sana katika familia na ustawi wake kwani huwapunguzia wanafamilia hasa baba na mama majukum ya nyumbani na kuwa na mawanda mapana ya kufanya shughuli zao za kiuchumi na maendeleo hata kama wana watoto nyumbani.
Pamoja na...
Kama itashindikana kuiondoa kwa kuwa ipo tayari kwenye budget basi na iwe fixed amount.
Kodi ya uzalendo ingekuwa na tija kama ingekuwa ni fixed amount.
Mfano wangesema wakate Tshs. 10 kila siku kwa mtumiaji wa simu.
Maana kwa mwezi (siku 30), kila mtumiaji wa simu angechangia Tshs. 300.
Kwa...
Kutokana na michezo ya kisiasa inavyoendelea nchini, sisi wananchi tunaona kabisaa wasaidizi ama washauri wa Rais wanamzunguka na wanahakikisha anaenda kuanguka kwenye uchaguzi mkuu 2025.
Issues ambazo seems unazungukwa ni hizi hapa
Wasaidizi uliohama nao kutoka Awamu ya Tano
Katiba Mpya...
Tukio la juzi la police kuvamia wa mama wa chadema ilikuwa ni aibu sana, yaani wame react baada ya Mbowe kusema atapeleka watu barabarani? Trust me hata leo Chadema wakisema wanaingia barabarani hawatapata sapoti ambayo polisi wanadhani itakuwepo, punguzeni mihemko ya kitoto.
Tena kama...
Habari wanajamvi, msaada wa mawazo yenu hapa.
Nilikuwa nina wazo la bihashara ya wasichana wa kazi ( house girls) mwaka jana, lilikua niwe nawatafuta mabinti nawapa mafunzo kiasi jinsi ya kufanya kazi na kujifunza ujuzi mdogo mdogo, pia niwachambue wale bora na kuwatafutia kazi za ndani.
Lengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.