Akizungumza na waandishi wa habari Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, leo Oktoba 15, 2026, ameanisha dalili zinazoonyesha kuwa Tanzania ni taifa lililofeli (failed state), akielezea uwepo wa washauri wa Rais wasio rasmi ndani ya taasisi ya Urais jambo ambalo ni...
Ombi limewasilishwa katika Mahakama ya Milimani likilenga kumzuia Rais wa Kenya kuteua washauri wapya.
Wakili Vincent Lempaa Suyianka ndiye aliyepeleka ombi hilo mahakamani, akitaka pia serikali isimamishe ulipaji wa mishahara kwa washauri 21 waliopo kazini kwa sasa.
Kwa mujibu wa Suyianka...
Habarini wanajukwaa,
Kwa wenye uelewa wa namna gani nafasi za maafisa ofisi ya Rais Ikulu ambao kila uchwao tunaona wakipangiwa majukumu mengine, zinajazwaje naomba aniambie.
Ni utaratibu gani unatumika kuwapata?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.