washauri wa rais ikulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mpina: Kujaza washauri wasio rasmi Ikulu halikubaliki kikatiba, Rais Samia amekuwa akiunda vyombo vya ushauri nje ya utaratibu

    Akizungumza na waandishi wa habari Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, leo Oktoba 15, 2026, ameanisha dalili zinazoonyesha kuwa Tanzania ni taifa lililofeli (failed state), akielezea uwepo wa washauri wa Rais wasio rasmi ndani ya taasisi ya Urais jambo ambalo ni...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakili awasilisha ombi Mahakamani kuzuia Rais Ruto kuteua washauri zaidi

    Ombi limewasilishwa katika Mahakama ya Milimani likilenga kumzuia Rais wa Kenya kuteua washauri wapya. Wakili Vincent Lempaa Suyianka ndiye aliyepeleka ombi hilo mahakamani, akitaka pia serikali isimamishe ulipaji wa mishahara kwa washauri 21 waliopo kazini kwa sasa. Kwa mujibu wa Suyianka...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu na wajuzi: Nafasi za maafisa ofisi ya Rais ikulu zinajazajwe?

    Habarini wanajukwaa, Kwa wenye uelewa wa namna gani nafasi za maafisa ofisi ya Rais Ikulu ambao kila uchwao tunaona wakipangiwa majukumu mengine, zinajazwaje naomba aniambie. Ni utaratibu gani unatumika kuwapata?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…