Kama ilivyo kawaida kwa vyuo vingi vya elimu ya juu kutoa ufadhili kwa wahitimu wa ngazi mbalimbali za elimu, chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kina utaratibu wa kutoa ufadhili kwa wanafunzi wa ngazi ya shahada za awali na shahada za uzamili.
Katika mwaka wa masomo 2022/2023, dirisha la...
Kuwa mshindi wa Guinness World Record hakuna faida zozote za kifedha kama zawadi pale unapofikia record fulani katika nyanja mbalimbali. Hata hivyo unapatiwa hati maalumu ya utambuzi ambayo inakubalika na kutambulika kimataifa; hivyo mshindi kwa kupitia hati hiyo anakuwa amefanikiwa kujulikana...
Na nasikia anatamani mno na sana Kumjua GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ili amuulize anataka ampe Cheo gani ili amsaidie na alisaidie Taifa lake Tukuka.
Haters msichoke Kunichukia JF Okay?
Wafalme wa Hollywood walikusanyika ili kujua ni nani aliyeshinda Tuzo ya Oscars Usiku wa Jumapili. Hii hapa orodha ya washindi na wateule wote waliotangazwa katika Tuzo za 95 za Academy huko Los Angeles, Marekani.
Picha Bora
Everything Everywhere All at Once (MSHINDI)
All Quiet on the Western...
Chris Brown ameonesha hisia za kutopendezwa na kitendo cha kukosa tuzo ya Grammy kupitia albamu bora ya R&B, kwa kueleza kuwa hajawahi hata kumsikia mshindi aliyetajwa ambaye ni Robert Glasper.
Breezy ameonesha wazi kuwa hajapokea ushindi wa Glasper kwa roho nyeupe ambapo amepost kupitia Insta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.