washington dc

  1. U

    Netanyau awasili Washington DC, kukutana na Trump kwenye mkutano muhimu sana

    Wadau hamjamboni nyote Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau amewasili nchini Marekani na atakuwa na kikao kizito sana na Rais Trump Mungu ibariki Israel Netanyahu lands in Washington, to discuss hostage deal extension with Trump By AMICHAI STEIN FEBRUARY 2, 2025 22:42Updated: FEBRUARY 3...
  2. Yoda

    Wapenzi wa Palestina, rafiki yenu ni Democrats sio Republicans

    Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo analihutubia bunge la pamoja la Marekani (House of Representatives na Senate), nusu wabunge na maseneta kutoka chama cha Democrats wamesusia na kutohudhuria hotuba yake huku wabunge na maseneta karibia wote wa chama cha Republicans wakihudhuria.
  3. Roving Journalist

    Mbunge Njau: Jengo letu la Ubalozi Washington DC limechakaa na limepoteza hadhi

    Mbunge Felista Deogratius Njau akichangia mada kuhusu Hotuba ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amesema majengo kadhaa ya Ubalozi wa Tanzania yamechakaa likiwemo la Washington DC Nchini Marekani, hivyo ameshauri Serikali iangalie jinsi ya kuboresha. Ameyasema hayo...
  4. Mohamed Said

    Sanamu ya Abraham Lincoln Washington DC na Sanamu ya Julius Nyerere Dodoma

    SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA Abraham Lincoln sijapatapo kumuona hata siku moja ila katika picha. Lakini huwezi kuniwekea sanamu isiyo yeye nikashindwa kutambua kuwa huyo siye sembuse Mwalimu Julius Nyerere ambae nimemuona maisha...
  5. Mwande na Mndewa

    Likizo time tuliporudi vijijini, watoto wenzetu walielekea Paris, London, Washington DC waliambiwa nanyi pia mna haki ya kuishi hapa

    Wakati wa likizo miaka ya 1980 tulipokuwa watoto, ilikuwa ni utamaduni kwenda kuwasalimu bibi na babu,yalikuwa ni malezi bora yenye baraka pale babu na bibi wanapokushika mkono kukubariki na kukutakia yote yaliyo mema, wakati tukirudi kijijini, watoto wa waliofanikiwa walipelekwa kutembea...
  6. T

    Naomba mtanzania aliyeko Washington DC tuwasiliane

    Kadiri ya ombi tajwa hapo juu, nina mpango wa kuja WDC kwa muda. Hivyo naomba ndugu yangu mtanzania uliyeko huko unipe connection hasa ya makazi ya muda kwa bei nafuu au unihost. Kwa mawasiliano zaidi karibu inbox. Ubarikiwe. Ndugu yako Kijana wa kitanzania.
  7. Erythrocyte

    Washington: John Mnyika aanza ziara kwa kishindo, atembelea VOICE OF WASHINGTON DC. Ailipua sheria ya Uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Chadema , John Mnyika , aliye kwenye ziara ya kikazi Nchini Marekani, ameanza kutembelea vyombo vya habari vya Nchi hiyo na kuanika uozo unaoendelea nchini Tanzania. Akihojiwa na Kituo cha TV cha Washington DC, amefichua kwamba Mchakato wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi...
  8. Huihui2

    Tundu Lissu alaani uteuzi wa Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM

    DAKIKA 31:49-37:50 https://www.youtube.com/live/HcjWmHNQ9wQ?si=zi7ImpuRnAjBicwy Kwenye maridhiano kati ya CHADEMA na CCM kumefanyika vitu vingi ikiwa ni pamoja na wanachama wa CHADEMA waliokuwa nje kufutiwa kesi na kurudi nchini, wana wapinzani waliokuwa na kesi za kubambikizwa kuachiwa huru...
  9. S

    Wamarekani waandamana Washington wakipinga Marekani kudhamini vita ya Ukraine, wampongeza Putin kuwa ni mzalendo

    Marekani yasema wamarekani wanaopinga sera za vita za Washington wameandamana kwenda Ikulu ya Marekani (White House) massa kadhaa baada ya Biden kufika Kyiv wakipinga serikali yao kutengeneza na kudhamini vita nje ya nchi. Wamarekani hao pia walipaza sauti zao wakisema kuwa rais Putin si mtu...
  10. M

    WASHINGTON DC: Marekani yakubali kutuma vifaru 31 aina ya M1 Abrams nchini Ukraine

    Msemaji wa White house amesema kwamba miezi michache ijayo Marekani itatuma vifaru aina ya M1 Abrams nchini Ukraine. Wanajeshi wa Ukraine wataanza kupatiwa Mafunzo ya vifaru hivyo nchini Poland kwa muda wa miezi 3. Hayo yanajiri siku moja baada ya Ujerumani kukubali kutuma vifaru 29 aina ya...
Back
Top Bottom