Tayari tumewazoea, ila hatukujua kama hamjabadilika.
Hakuna tamasha la Siku ya mwananchi liliwahi tamatika bila vituko, malalamiko au majonzzi katika miaka ya hivi karibuni. Mwanzo tuliamini bado ni wachanga katika matukio makubwa kama haya. Ila umefanya matukio kama haya zaidi ya mara tano...