wasimamizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kocha Nabi

    Yanga kutocheza fainali usiku ni uoga wa wasimamizi wa uwanja ama ni tamko kutoka CAF?

    Naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. Maana huu muda sijawahi kuupenda katika maisha yangu. Wangeweka hata saa 12:00 jioni.
  2. Mwanamayu

    Halmashauri zitaacha ubadhirifu wa fedha za umma pale wakurugenzi hawatakuwa wasimamizi wa uchaguzi mkuu

    Kila mwaka hawa wakurugenzi walio wengi wanakutwa na tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma kwenye halmashauri zao. Swali: jeuri hii wanaipata wapi? Na aliyewateua mbona kama anawagwaya hivi? Nionavyo mimi ni kuwa wakiondolewa kwenye kusimamia uchaguzi mkuu, ndipo tatizo hili litapungua au...
  3. D

    Walimu wakuu siku hizi wamekuwa wasimamizi wa Majengo

    Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mchambuzi wa soka na Mwalimu Oscar Oscar Mzee wa kaliua ameandika Walimu Wakuu siku hizi kazi yao kubwa imekuwa ni kusimamia Ujenzi na Miradi ya Maendeleo! Hawafundishi tena! Hawasimamii Taaluma tena! Tungewaacha Waalimu kwenye TAALUMA, then huku kwenye Ujenzi...
  4. BARD AI

    'Wasimamizi wa ndoa ni 'Pisi Kali' kuliko Mabibi Harusi'

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Amon Mpanju amesema siku hizi wasimamizi wa ndoa wamekuwa ni fasheni na siyo wale wenye sifa ya kufanya kazi hiyo katika ndoa. Sambamba na hilo amesema wakati mwingine wanakuwa ‘pisi kali’ kuliko bibi...
  5. A HUMBLE LEADER

    NECTA, kwanini msitumie teknolojia ya malipo kwa wasimamizi wa mitihani ili kuepusha malalamiko kama mkoani Tabora?

    MKOANI TABORA Wasimamizi wa mitihani ya NECTA ya Darasa la nne,kidato cha pili na cha nne walioitwa kwenye semina maalumu pale AMUCTA tarehe 15 na pale Themi Hill tarehe 17 wamelalamika kutolipwa posho za semina na nauli kwa kisingizio eti muongozo wa malipo haujatoka kutokea NECTA...
  6. Willima

    Wanawake ni viongozi na wasimamizi bora wa jamii na nchi

    Kumekuwa na mtazamo wa kimazoea hasa Katika nchi za Afrika, Kuwa mwanamke hawezi kusimamia jamii na nchi kwa ujumla, maranyingi mwanamke huonekana kama mtu ambaye uwezo wake wa kusimamia hutegemea muongozo wa mwanaume na Kuwa mwanamke mwenyewe hawezi kusimamia na kufanya maamuzi hata Katika...
  7. Mirio

    Uhitaji wa makarani, wasimamizi wa maudhui na Tehama ipoje kwa kila kata msaada kwa anaejua tafadhari

    Msaada hapo kwa anaejua kuhusiana na mgawanyo wa hizo nafasi kwa Sasa
  8. C

    NACTVET chunguzeni wasimamizi wa mitihani ya Wizara ya Afya

    Wapo wasimizi wanashiriki kila zoezi la kazi maalum kwa sababu ya connection tu lakini si waadilifu. Baadhi wamekuwa wakiomba fedha ili wawabebe wanafunzi na wamiliki wa vyuo wasio na maadili huwakubalia. Najua kwa sasa kuna watu wa ofisi ya Rais wanahusishwa katika zoezi isipokuwa ninyi mna...
  9. M

    KWELI Posho za wasimamizi wa mtihani wa Kidato cha nne hutofautiana kulingana na idadi ya siku walizosimamia

    Baadhi ya Halmashauri zimedaiwa 'kuwapiga' cha juu wasimamizi wa mitihani ya kidato cha nne inayoendelea hivi sasa. Kwa utafiti wangu usio rasmi wa kuwapigia watumishi wa Halmashauri tofauti tofauti, nimegundua kwamba kuna Halmashauri zingine zimewalipa wasimamizi siku 19, zingine zikalipa siku...
  10. Jamii Opportunities

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

  11. ZINDAGI

    Wasimamizi wa barabara za mjini liangalieni hili

    Inashangaza na kuhuzunisha kuona watu waliopewa dhamana ya kuzitunza na kuziangalia barabara zetu hawatendei haki majukumu yao, hii inasababisha matatizo makubwa kwa wateja wao ambao ni sisi sote watumiaji wa barabara hizo. Utakuta watu wanachimba barabara kuziba viraka au kuchimba mashimo...
  12. BigTall

    Wasimamizi mirathi ya Mengi wabanwa Mahakamani kuhusu matunzo ya watoto wa mjane Jacqueline Ntuyabaliwe

    Mahakama ya Watoto Kisutu imewabana wasimamizi wa mirathi ya aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kwa kukataa kuwahudumia watoto wake wadogo aliowazaa na mjane wake, Jacqueline Ntuyabaliwe. Mahakama hiyo imetoa msimamo huo katika uamuzi wake wa pingamizi lililowekwa na...
  13. Kiturilo

    Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

    Mirathi ya marehemu Dkt Mengi imezua balaa baada wasimamizi wake kuburuzwa mahakamani kwa tuhuma za kukataa kuwahudumia watoto wa Mengi aliozaa na Jacqueline Ntuyabaliwe. Kesi hii imefunguliwa ikiwa mke huyo mdogo wa Mengi akiwa amezuiwa kukanyaga Kilimanjaro hata kwenda kusafisha kaburi la...
Back
Top Bottom