SABABU ZA TATIZO LA AJIRA KWA WASOMI, MADHARA NA UFUMBUZI WAKE TANZANIA.
Utangulizi
Tatizo la ajira kwa wasomi ni janga la dunia mzima lakini limeathiri zaidi katika nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara. Tatizo hili linahusisha kuwa na idadi kubwa ya watu wenye ujuzi, maarifa na uwezi mzuri...
DIRA YA TANZANIA YETU NA SUALA LA AJIRA KWA VIJANA WASOMI
Ndugu wana JF habari.
Kabla ya kuingia katika kiini cha habari hii nipende kutoa maana halisi ya maneno ya msingi yatakayotumika katika habari hii.
Ndugu msomaji, ajira ni kazi zitolewazo au zifanywazo kwa malipo, inaweza kuwa katika...
Mkakati mpya ambao ni mbadala wa makatazo ya CCM na Polisi kwenye kampeni takusisimua akili za Watanzania juu ya katiba mpya vijana wa vyuo vikuu Mwanza leo wameendesha kampeni ya kutoa elimu kijiweni au maskani lengo likiwa nikuwafikia wananchi bila kuzimwa na akili na fikra za watawala.
Mbinu...
Kilimo cha biashara ni njia ya kujitoa katika umasikini. Mtaji katika kilimo hiki ni changamoto kubwa.
Wazo lililopo ni kuunganisha nguvu na ujuzi wa watu mbali mbali. Wahitimu wa kilimo, uhandisi, HR, accounts, marketing nk waungane na kuunda kampuni.
Eatafute eneo kuanzia heka 20, wa...
Hawa wasomi njaa hawa kipindi kile cha nyuma walitusababishia ikawa ukienda kula ndizi choma na mishkaki unawekewa kavu na ukitaka chachandu unatakiwa ulipie.
Yaani Ghafla Chachandu ikawa dawa ya Corona. Kwa utafiti gani haijulikani. Yaani sisi watu wa hovyo sana.
Wauzaji chips wakawa sasa...
Wasomi tunavyoendelea kukaa kimya kwenye swala la Katiba mpya haya ndio matokeo yake.
Sasa kila mtu anawaza kuwa Rais au first lady, hata watu ambao hawana vigezo wala maadili ya kugombea hata udiwani nao nawaza kuwa Marais wa Tanzania au mafirst lady waTanzania.
Someni wenyewe hichi alicho...
Kumezuka tabia ya kuwabagua watu wenye degree katika utoaji wa ajira. Just imagine mtu amekomea form 4 akaenda kusoma special diploma anaajiriwa kwenda kufundisha sekondari ilihali walio na shahada kwa masomo hayo ni wengi tu mtaani. Kwenye upande wa afya mambo ni yaleyale hakuna ahueni yoyote...
Hawa ni Wasomi kutoka Stanford University na mungine Harvard University
Prof Lipumba, Huyu ameishi Stanford University na Kufundisha hapo, Gharama za kusoma chuo hicho ni zaidi ya dollar za kimarekani 55,000 kwa mwaka mmoja sawa na pesa za kitanzania zaidi ya Milioni 120 kwa mwaka mmoja...
Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.
Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo...
Waalimu ambao hamjaajiriwa Pole nyingi ziwafikie,mimi kama mdau wenu niliyewahi kuwa mhanga kwa miaka 4 na tangu 2015-2019*tushare mawazo kidogo👇
Endapo serikali itakuwa serious kuweka kigezo cha kujitolea kuwa ndicho kigezo kukuu cha kuajiri waalimu madhara yafuatayo yatajitokeza.
1. vijana...
Kuna tatizo sana kwa watanzania wasomi kuamini kuaijiriwa mpaka upate kazi serikalini. Hii mindset tunaweza kuiondoaje kwa wasomi? Mfano hai ni kwenye hizi ajira za walimu na wafanyakazi afya idadi kubwa imejitokeza kuomba ajira hizo na kupelekea kuonesha kuwa hapa Tanzania kuna tatizo kubwa la...
Kama kawaida kabla hatujaanza chochote, tutumie sekunde chache kumshukuru Mwenye enzi Mungu kwa kutupa kibali tena. Pia nikushukuru ndugu msomaji unaeambatana nami katika makala yangu hii na mengine mengii yatakayo kuja mbeleni.. Naanza hivi...
kabla ya kuandaa makala yangu narudi miaka ya...
Kuna wasomi walitumia miaka mitano kuwatukana na kuwadhalilisha watu wenye upeo mpana na waliotuzidi maendeleo kwa kuwaita mabeberu. Wasomi hawa walifika wakati wanatuaminisha hata mtanzania mzalendo anayewaza sahihi kuhusu nchi hii anatumiwa na mabeberu.
Kauli mbiu ya mabeberu iliwajaa watu...
Maisha yalibadilika, wasomi (wetu) wakaanza kuziona thamani zao katika ombwe la utupu. Walishindwa kuthamini hata vyungu vilivyowapika wakajiona wameiva. Wengine waliamua kujiita wamepikwa matopeni. Lakini kubwa ni kwamba tuna falsafa. Itikadi ambazo zinafumbatwa katika lugha zetu. Pengine...
Habari wadau,
Nimeona watu wengi kwenye mtandao wanapenda onesha status zao za elimu. Je, ni sahihi au?
Maana najua mitandao inaleta dili nyingi za biashara na mengineyo.
Je, kujiweka status yako ya elimu kama una masters, PhD, CSP, CPA, Engineer ni sahihi hasa instagram?
Maana nimeona mdau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.