Nilipokuwa "mdogo", niliaminishwa kuwa wasomi si wanasiasa na hata wakiwa kwenye siasa husimamia misimamo yao ya kisomi.
Lakini baada ya kuanza kufuatilia mambo ya kisiasa, nilibaini kuwa si wasomi wote wanaoweza kusimamia misimamo yao nyakati zote, hasa misimamo yao inapohatarisha "ugali" wao...