Nimekuwa nikijiuliza, hivi kuna utofauti gani kati ya Elimu na Ujuzi. Elimu ni nini? Ujuzi ni nini?
Je, wanaoenda shuleni na vyuoni wanatafuta elimu au ujuzi. Kama wanatafuta elimu, je, elimu wanaitafutaje? Kwa kusoma vitabu na kukariri misamiati?
Je, Daktari, Engineer, fundi seremala, Mvuvi...