Wadau hamjamboni nyote?
Sababu ninini? Elimu? Makuzi? Desturi? Mazoea?
Kwanini wengineo japo baadhi wapo tofauti? Tunabishana nao mitaa, tunagombana nao barabarani?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Kanisa moja takatifu la Mitume
Ambao mmewahi kusafiri humu, hivi ukitaka kununua kitu kwa winga Dirishani unafanyeje?
Wale wenye uroho na walafi wa Kulakula hovyo wananunuaje mayai,karanga,mahindi na maembe?
Au abiria wa haya mabus ni wastaarabu ambao wanapaki supermarket kununua mahitaji ya njiani..
Mabus yanafanana na...
Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia katika Mahusiano na Wanaume Machakaramu (Masela na Watukutu) na ni nadra sana kukuta wameanzisha...
Wakenya ni wajasiri, lakini wakati mwingine huvuka mpaka!
Inawezekana Polisi walikosea kuingia kwenye gari lao bila kueleza sababu, lakini wasingepaswa kutumia maneno makali sana dhidi yao, mpaka kuwaita wapumbavu.
Wangeenda kuwashtaki kwenye mamlaka zinazohusika, na si kuwadhalilisha kwa...
Picha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe...
Halafu acheni Kupeleleza kila mara Simba SC anataka Kumsajili nani ili nanyi mjitutumue Kumsajili.
Mnajifanya Kuficha Siri ila imeshafichuka kuwa kumbe nanyi mlimtaka Okra ambaye anamzidi Aziz K na BM wenu mara 100 Kiuwezo ( Kiuchezaji ) kwa kwenda na Tsh Milioni 400/ Kamili haraka sana Tajiri...
"Utakuta watu wa route hii ya Makumbusho Posta wana ustaarabu, akikuta gari limejaa kwanza hapandi, tofauti na route za Mbagala, hata mwonekano wa kondakta na dereva wa gari la Posta uko smart, "- Sgt Amin Iddi, Traffic Dar.
"Umepanda pikipiki dereva anaenda isivyo wewe unashindwa kumwambia...
Hivi kwa nini mwanaume akiwa play boy kinadada mnampenda sana? Na akitongoza huwa hamruki? Utakuta mwanaume mstaarabu lakini wanawake wanamkimbia wakati ndo ingebidi wamkimbilie yeye.
Kwanini wanapenda wanaume ambao mara nyingi wanakuwa washakuwa na hata skendo za kutembea na madada madada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.