wastaarabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Comercial Bank kuweni wastaarabu na wathamini wateja wenu

    1. Kama mnataka kutoa service wapeni wateja wenu taarifa. Pension/salary advance/nisogeze loan /jihudumie hakuna..is now ON/OFF. Kuweni na msimamo, consistency, kama haipo mwezi fulani waambie wateja wenu kuwa service hii imefutwa. Tunajua kuwa ni discretion yenu kuweka au kuondoa service hizo...
  2. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Tunafurahia ushenzi?. Na hao mnaotaka wawe wastaarabu wakiuitikia wito wa kishenzi basi hakutokua na nafasi ya kuukaribisha ustaarabu tena

    Tunafurahia ushenzi? Na hao mnaotaka wawe wastaarabu wakiuitikia wito wa kishenzi basi hakutokua na nafasi ya kuukaribisha ustaarabu tena. Msitake wajivike ustaarabu ushenzini. Regardless ya kiwango cha ushenzi watakachokionesha kama muitikio wa ushenzi waliooneshwa.. UShenzi haufurahiwi...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jux anafanya wanaume wote wa Tanzania tuonekane wastaarabu kwenye mapenzi

    Mimi sio hansome,sina hela,sina six pax,sina umaarufu wowote ila tangu january mpaka sasa nimeshatindua mabinti zaidi ya 19,na mwaka bada mbichi kabisa Siku ya msiba wangu nitatia aibu sana kwa rundo la watoto msibani kwangu. Minajijua siendi mbinguni kwadhambi moja tu ya uzinzi Sasa mdogo...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania TUNAO FUNGA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI NA KWARESMA, TAFADHALINI SANA TUWE WASTAARABU KIDOGO NA VINYWA VYETU.

    Ni kweli miongoni mwa sharti moja wapo muhimu sana katika kufunga ni kujinyima na kujizuia kula na kunywa chochote kwa kipindi cha muda fulani, huku kile tulichojinyima na kukizoea kukutumia tunawasitiri nacho wahitaji wasio jiweza. Ila ndugu zangu midomo na vinywa vya baadhi ya tunao funga...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mapadre wakimya, wastaarabu, wanyenyekevu na wenye subira? Kwanini huwezi kuta wanaropoka au kubishana hovyo vijiweni au vichochoroni?

    Wadau hamjamboni nyote? Sababu ninini? Elimu? Makuzi? Desturi? Mazoea? Kwanini wengineo japo baadhi wapo tofauti? Tunabishana nao mitaa, tunagombana nao barabarani? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Kanisa moja takatifu la Mitume
  6. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Picha: Haya mabasi ya kisasa yanatufanya tuwe wastaarabu sana

    Ambao mmewahi kusafiri humu, hivi ukitaka kununua kitu kwa winga Dirishani unafanyeje? Wale wenye uroho na walafi wa Kulakula hovyo wananunuaje mayai,karanga,mahindi na maembe? Au abiria wa haya mabus ni wastaarabu ambao wanapaki supermarket kununua mahitaji ya njiani.. Mabus yanafanana na...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu binafsi: 75% ya wanawake hupenda wanaume wenye usela na utukutu kuliko wale wastaarabu

    Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia katika Mahusiano na Wanaume Machakaramu (Masela na Watukutu) na ni nadra sana kukuta wameanzisha...
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Polisi kuwa wastaarabu hakuhalalishi kudogoshwa na raia

    Wakenya ni wajasiri, lakini wakati mwingine huvuka mpaka! Inawezekana Polisi walikosea kuingia kwenye gari lao bila kueleza sababu, lakini wasingepaswa kutumia maneno makali sana dhidi yao, mpaka kuwaita wapumbavu. Wangeenda kuwashtaki kwenye mamlaka zinazohusika, na si kuwadhalilisha kwa...
  9. Nominee

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

    Picha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Washamba wamemsajili Aziz K kwa Tsh Milioni 400/ wanatamba, ila Wastaarabu wamemsajili Okra kwa Tsh Milioni 460 wala hawatambi

    Halafu acheni Kupeleleza kila mara Simba SC anataka Kumsajili nani ili nanyi mjitutumue Kumsajili. Mnajifanya Kuficha Siri ila imeshafichuka kuwa kumbe nanyi mlimtaka Okra ambaye anamzidi Aziz K na BM wenu mara 100 Kiuwezo ( Kiuchezaji ) kwa kwenda na Tsh Milioni 400/ Kamili haraka sana Tajiri...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Trafiki: Abiria wa Makumbusho-Posta wastaarabu siyo kama wale wa ruti ya Mbagala

    "Utakuta watu wa route hii ya Makumbusho Posta wana ustaarabu, akikuta gari limejaa kwanza hapandi, tofauti na route za Mbagala, hata mwonekano wa kondakta na dereva wa gari la Posta uko smart, "- Sgt Amin Iddi, Traffic Dar. "Umepanda pikipiki dereva anaenda isivyo wewe unashindwa kumwambia...
  12. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume Wapole na wastaarabu huwapenda wanawake ambao hawajatulia?

    Habari wadau..! Naomba leo tujadili hoja hapo juu kuhusu hawa wajamaa wapole halafu Mungu anawakutanisha na magubegube, kwanini?
  13. Babumawe

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakinadada wanawapenda sana play boys kuliko wastaarabu

    Hivi kwa nini mwanaume akiwa play boy kinadada mnampenda sana? Na akitongoza huwa hamruki? Utakuta mwanaume mstaarabu lakini wanawake wanamkimbia wakati ndo ingebidi wamkimbilie yeye. Kwanini wanapenda wanaume ambao mara nyingi wanakuwa washakuwa na hata skendo za kutembea na madada madada...
Back
Top Bottom